Uliwai kuwekeza kwenye hiyo migodi ukanyimwa kibali?Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Nani amekuambia?Ina maana haya madini ya uranium ndiyo yanapelekwa Iran kutengeneza mabomu ya kuimaliza Israel, yaani kama ndiyo hivyo tutegemee vifo zaidi maana EU na USA hawatakubali
Na lisu alivyoanza tu kutoa na kuwajengea watu uwezo kuhusu makaa ya mawe ALIKAMATWARostam akamatwe haraka
Mchina kashapotezwa kabaki kanjibahi kwa maslahi mapanaMradu wa NHC Kawe una wajenzi 3
NHC wenyewe
Mchina mradi mpya
Estim Cons ambayo ni ya wahindi waliokuwa wanafanya kazi Konoike
Jidanganye ukikaanao ndio utawatambua, hao waliozaliwa ni mechi bila VARMboni Wahindi kibao tu Wamezaa na Kuzalishwa na Wabongo mkuu punguzeni hizo hayo mengine ya ufisadi sawa ila haya hapa hapana
F.. Ck offAkili za kipumbavu kama zako ndo zimesababisha hadi leo nchi inalipa fidia za tangi awamu ya kwanza kwa kutaifisha kiholela mali za watu. Kabla hujachukua hatua lazima uwe na ushahidi usiotia shaka ili baadae usije ukaingia matatizo kulipa fidia.
Kwa hoja hii mimi ningekuweka na wewe!Mchawi Tume ya Uchaguzi tu.
Kwa Tume "Huru" ya sasa mshindi lazima awe mmiliki wake tu, ndiyo maana wenye akili na wazalendo wanadai Reforms
Jiwe sijuhi kwanini akiwanyonga awa watu.Rostam akamatwe haraka
Utapewa wewe ni mwanamtandao?Uliwai kuwekeza kwenye hiyo migodi ukanyimwa kibali?
Huyu jamaa ana sifa nzuri, kenya walimzingua hadi kamtumia saa mia moja kwenda kufanya mazungumzo na RutoMimi kitu Cha msingi ni kuhakikisha RA analipa kodi stahiki,mengine ni kwamba Tanzania sio nchi ya kijamaa tena.Kufanya biashara halali ni sawa kama unalipa kodi inayotakiwa!
Kalagabao,siku nyingi tuMakaa ya nawe sawa, Uranium Nina Shaka kubwa kwani hii ni radio active material can not be transported by open trucks. Anyway labda mmeyaona barabarani.