Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

Ninamsikiliza hapa Muliro anasema kuwa wanaendelea na uchunguzi sasa sijui wanaona bado watu ni wajinga

Na ingetokea Polepole aaingerecord video tungeambiwa huyu dada yake kajiteka au kajiua kutokana na wivu wa kimapenzi.
 
“Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
Walitakiwa wamuue kabisa, Polepole alikalia kimya unyama huu wakifanyiwa wapinzani kwa maagizo ya Magufuli, leo wamembadilishia kibao anajiliza.
 
Back
Top Bottom