Kwasababu dada yangu ana uroho wa madaraka na damu za watu wasio na hatia ndio chakula chake kikuuWajomba mboni mmeshikwa na jazba na namna hii?
Ni kama vile habari za utejakaji zimeanza baada ya dad'a yake kutekwaWewe pole pole kipindi cha magu si ndio ulikuwa unatoa ramani ya michezo hiyo vipi leo hapo pana umaje?
Una uhakika huyo ni dada yako wa kuzaliwa tumbo moja?Kwasababu dada yangu ana uroho wa madaraka na damu za watu wasio na hatia ndio chakula chake kikuu
Ni ajabu sana then nikitegemea nisikie vitu vizito sana mimi naona uyu kuna jambo ana litaka so ana watishia hao wakubwa wakeNi kama vile habari za utejakaji zimeanza baada ya dad'a yake kutekwa
Acha kutumia mistari ya biblia kwenye bangi zakoMamaSamia2025 take this from me.... Wewe na uzao wako mtalala kwa huzini. Isaya 50 verse 11
Kila mwenye kvma ni dada wa mtuUna uhakika huyo ni dada yako wa kuzaliwa tumbo moja?
Mmelaaniwa nyie mashetani mnyonyao damu na kujifariji na mbio za mwengeAcha kutumia mistari ya biblia kwenye bangi zako
Mkuu naona ushaanza kuhamisha mada huko unapoelekea sipahitajiKila mwenye kvma ni dada wa mtu