SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hangaya mikono yake imejaa damu na haogopitena kuendelea kumwaga damu za Watanganyika ili aendelee kuitawala Tanganyika.
Wamekuwa wehuWatu wa kwenye system waambieni watulize akili,
Hilo ni neno tu yyte anaweza kulitamka"While others heal in the name of Allah, others kill in the name of Allah"
Wakataka kupita na Philip Mangula dozi ikabuma,Kama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
Siku mungu akiuamulia ugomvi wa Tanganyika na huyu mstaafu asiye ridhika na ustaafu,mwenye uchu na tamaa mlezi wa mafisadi na wahuni, nita chinja ng'ombe wangu yule mkubwa kabisaMwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote.
Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe. Humphrey Polepole, alipokea swali kutoka kwa mmoja wa Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora). Swali hilo lilikuwa la moja kwa moja na lenye kugusa hisia:
"Je, unajua kuwa Mzee Warioba yupo chini ya kifungo cha ndani (under house arrest)?"
Katika kujibu, Polepole alisema hana mawasiliano ya moja kwa moja na Mzee Warioba, lakini ana rafiki wa karibu wa Warioba ambaye huwa anawasiliana naye. Kwa mujibu wa Polepole, mara ya mwisho alielezwa kwamba Mzee Warioba alikuwa salama, na alituma salamu kwake kupitia huyo rafiki.
Kauli hii, badala ya kuondoa wasiwasi, imezidi kuzua taharuki miongoni mwetu. Swali linabaki:
View attachment 3434581
My take
JE, NI KWELI MZEE WARIOBA YUPO CHINI YA KIFUNGO CHA NDANI?
Historia Fupi ya Mzee Warioba
Jaji Joseph Sinde Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1985–1990), na baadaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwaka 2012. Ametambulika kwa uadilifu, uzalendo, na uwazi katika kuzungumzia masuala ya haki, utawala bora na Katiba ya wananchi.
1. Kutokuwepo hadharani kwa muda mrefu – Kama mdau nimegundua kimya cha muda mrefu kutoka kwa Mzee Warioba, tofauti na desturi yake ya kutoa maoni kwenye masuala ya kitaifa.
2. Kauli ya Polepole – Badala ya kusema kwa uhakika kuwa Warioba yuko huru, alijibu kwa njia ya kusita na kuleta mtu wa kati kama chanzo cha taarifa. Hili linazua maswali.
3. Ukimya wa vyombo vya habari. Hakuna taarifa rasmi kutoka serikalini wala vyombo vya habari kuhusu hali ya Mzee Warioba, jambo ambalo linazua hisia kuwa kuna jambo linafichwa.
4.Kauli ya Kikwete kuhusu viongozi wastaafu wanaopenda kuita press pindi wanapotaka kukosoa jambo la kitaifa. Ile kauli yake ilikuwa ya kufikilisha.
Wito kwa Wananchi na Majirani
Kwa kuwa Mzee Warioba anaishi maeneo ya Dar es Salaam (inayosemekana ni Mikocheni au Kunduchi), tunatoa wito kwa majirani, viongozi wa mtaa, na wale wenye taarifa za uhakika kutupa mrejesho kuhusu hali ya mzee huyu. Je, anaonekana? Ana wageni? Anazunguka?
Ikiwa ni kweli kuna vizuizi dhidi yake, basi Watanzania wana haki ya kujua sababu, kwani huyu ni hazina ya taifa, kiongozi wa kiadilifu ambaye alihudumu kwa bidii, si kwa maslahi binafsi bali kwa mustakabali wa taifa.
Wadau, je huu ni uvumi au kuna ukweli ndani yake? Tunahitaji majibu.
Jambo la kufikirisha hili aisee, wana mizizi imeenda mbali sanaKama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
Na hawaoni shida kupitisha Nyerere Day, ila uhakika wapo vizuri sana tena sana. Maana alipokuwa anamkabidhi uenyekiti Dkt Magufuli alisema nimewaletea Chuma hahaa ila that kind of calmness inatisha sana, yaani ukiwakosea hakuna adhabu nyingine zaidi ya kifo!Jambo la kufikirisha hili aisee, wana mizizi imeenda mbali sana
Babu yupo salama Bwana, tulikuwa wote kwenye Msiba mahali fulani siku kadhaa zimepita na alihutubia hadhira ya Msibani pale.Kama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
View: https://m.youtube.com/watch?v=JrYtD7gSWsI
Let’s hope for the happy ending, as yet there too much talking.
Kwahiyo kila mwenye nafasi kubwa aliekufa aliuliwa? Ulitaka nyerere, mkapa, magufuli waishi miaka mingapi ndo wakifa inakua natural death na siyo kuuliwa?Kama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
Kichwa pumbu wewe fuvu limejaa mavi hilointerresting lkn umeharibu hapo kwenye salamu, kwa nini Kikristo na kiislamu kwa pamoja, who are you? ni aidha Christian or Muslim usiwe vugu vugu hata siku moja, akina Ndugai & co. walikuwa vuguvugu pia kilichowakuta mnakiona, ukiwa Christian sema kama Christian na hauhitaji salamu ya kiislamu, Bwana asifiwe ingetosha ...
Huyu kitambo alikuwa mgonjwaKwahiyo kila mwenye nafasi kubwa aliekufa aliuliwa? Ulitaka nyerere, mkapa, magufuli waishi miaka mingapi ndo wakifa inakua natural death na siyo kuuliwa?
Da tumekuwa mateka wa wahuniKama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
Si uende nyumbani kwake?Mwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote.
Katika mahojiano ya moja kwa moja usiku wa leo, aliyekuwa mbunge na mwanasiasa machachari, Mhe. Humphrey Polepole, alipokea swali kutoka kwa mmoja wa Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora). Swali hilo lilikuwa la moja kwa moja na lenye kugusa hisia:
"Je, unajua kuwa Mzee Warioba yupo chini ya kifungo cha ndani (under house arrest)?"
Katika kujibu, Polepole alisema hana mawasiliano ya moja kwa moja na Mzee Warioba, lakini ana rafiki wa karibu wa Warioba ambaye huwa anawasiliana naye. Kwa mujibu wa Polepole, mara ya mwisho alielezwa kwamba Mzee Warioba alikuwa salama, na alituma salamu kwake kupitia huyo rafiki.
Kauli hii, badala ya kuondoa wasiwasi, imezidi kuzua taharuki miongoni mwetu. Swali linabaki:
View attachment 3434581
My take
JE, NI KWELI MZEE WARIOBA YUPO CHINI YA KIFUNGO CHA NDANI?
Historia Fupi ya Mzee Warioba
Jaji Joseph Sinde Warioba ni Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1985–1990), na baadaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwaka 2012. Ametambulika kwa uadilifu, uzalendo, na uwazi katika kuzungumzia masuala ya haki, utawala bora na Katiba ya wananchi.
1. Kutokuwepo hadharani kwa muda mrefu – Kama mdau nimegundua kimya cha muda mrefu kutoka kwa Mzee Warioba, tofauti na desturi yake ya kutoa maoni kwenye masuala ya kitaifa.
2. Kauli ya Polepole – Badala ya kusema kwa uhakika kuwa Warioba yuko huru, alijibu kwa njia ya kusita na kuleta mtu wa kati kama chanzo cha taarifa. Hili linazua maswali.
3. Ukimya wa vyombo vya habari. Hakuna taarifa rasmi kutoka serikalini wala vyombo vya habari kuhusu hali ya Mzee Warioba, jambo ambalo linazua hisia kuwa kuna jambo linafichwa.
4.Kauli ya Kikwete kuhusu viongozi wastaafu wanaopenda kuita press pindi wanapotaka kukosoa jambo la kitaifa. Ile kauli yake ilikuwa ya kufikilisha.
Wito kwa Wananchi na Majirani
Kwa kuwa Mzee Warioba anaishi maeneo ya Dar es Salaam (inayosemekana ni Mikocheni au Kunduchi), tunatoa wito kwa majirani, viongozi wa mtaa, na wale wenye taarifa za uhakika kutupa mrejesho kuhusu hali ya mzee huyu. Je, anaonekana? Ana wageni? Anazunguka?
Ikiwa ni kweli kuna vizuizi dhidi yake, basi Watanzania wana haki ya kujua sababu, kwani huyu ni hazina ya taifa, kiongozi wa kiadilifu ambaye alihudumu kwa bidii, si kwa maslahi binafsi bali kwa mustakabali wa taifa.
Wadau, je huu ni uvumi au kuna ukweli ndani yake? Tunahitaji majibu.
Maskini wasio na mali na vyeo nani huwa anawaua?Kama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
Warioba ni mjinga sana, anataka kuharibu amani kwa kuwa anajua hana siku nyingi za kuishi, anataka kutuachia vitaMwenyezi Mungu atangulie. Amani ya Bwana iwe nanyi, na rehema za Allah ziwe juu yenu nyote.