Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

"While others heal in the name of Allah, others kill in the name of Allah"
Ahaaaaaa, sina maana hiyo!! Watu wakapoteana na vicheko😂🤣😭😭😭
 
Na hawaoni shida kupitisha Nyerere Day, ila uhakika wapo vizuri sana tena sana. Maana alipokuwa anamkabidhi uenyekiti Dkt Magufuli alisema nimewaletea Chuma hahaa ila that kind of calmness inatisha sana, yaani ukiwakosea hakuna adhabu nyingine zaidi ya kifo!
How to deal with them ? Maana wame hijack judiciary , law na katiba sasa, they are almost everywhere
 
bahati mbaya au nzuri dudez are very smart to deal with such kind of matters, sidhani kama wanaweza kumsumbua Mzee maana madhara yake ni almost negligible.

Ukisikiliza speech za HP from last episode to this one utagundua misuri yao ni midogo kupambana silaha pekee wanayoitegemea ni wananchi.
Ukiona mtu anatoka public kuongelea jambo ambalo linahitaji mapambano ujue hana uwezo zaidi ya kusikiliza huruma.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan
 
Umri ule ni WA kupotezwa au kufa Kwa uzee?
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Maisha ya warioba yanalindwa na mungu tu maaana kwa jinsi ccm mtandao walivyo weka chain ya kuendelea kutufyonza wa tz wangekua wamesha pita nae
 
How to deal with them ? Maana wame hijack judiciary , law na katiba sasa, they are almost everywhere
Ni ngumu sana maana unakumbuka yule msemaji wa jeshi alidokezea ki iceberg kuhusu wakubwa kupeleka watu wao kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na because Rostam ni CIA agent maana yake walikuwa na plan ya almost 50 years ndiyo maana wapo njema. Iwe polisi iwe jeshi yaani wapo pote pote. Hapo ni Mungu tu atusaidie maana kama waandamizi wa tissi wasiokuwa wa kwao wamewaua na cheki hata master mind wa kumuua Dkt Magufuli prof janabi maana yake ilibidi dogo yule afe ili prof aondoke tanzania
 
I think kwanza wananchi lazima wabadilishe akili zao, resistance inaanzia kwa mwananchi, lazima itawafiecw kuchange wakiona hamna ushirikiano (enablers)
 
Ni habari ya kustua sana.kwenye number 3 kuhusu waandishi wa habari ni kama hawapo tuna waandishi wa habari za michezo
.kumuweka house arrest mzee warioba ni ukosefu wa,adabu na maarifa.naamini kama mzee warioba anawakera sana wanaweza kuongea akawaelewa na kunyamaza.
Hiv ni kweli,waandishi wanapokeaga tuzo za bure eti ehee?! Mbona hawatuletei taarifa ya warioba alipo?
 
Jamaa ukimuona hauwezi hata kumdhania kabisa, anajua kuzisogeza kete zake vizuri kabisa akiwa kwenye public anapenda kuchekacheka sana, ogopa mtu anaecheka na haujui anacheka nini
Upo sahihi. Kuna vicheko ni vya kuficha uovu. Anachekacheka kukuhadaa kuwa anakupenda, hana chuki, hana neno nawe, kumbe rohoni amejaa ushetani mtupu.
 
Upo sahihi. Kuna vicheko ni vya kuficha uovu. Anachekacheka kukuhadaa kuwa anakupenda, hana chuki, hana neno nawe, kumbe rohoni amejaa ushetani mtupu.
Na hivyo ndio alivyo Vito Corleone
 
Kama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?
Tatizo la hii nchi TISS wamelala usingizi wa pono Sana

Imagine sio Warioba tu

Majaliwa, Mpango na Butiku wote wapo chini ya ulinzi

Hakuna aliye salama nchi hii juu ya Hawa manyang'au
 
The drawing ✍️ now iko complete kwa kweli. Hata Lisu ndiyo kundi hilo hilo lilitaka kumuua na lilitumia kauli za Dkt Magufuli zile za ukali kuua waty wengi na hatimaye likafanikiwa kum brand kama killer
Uwa nawaambia watu hii kitu Lissu alitaka kuuawa na msonga wanabisha

Kumbuka siku ile anatoka bungeni aliongelea juu ya ili genge kuundwa mwaka 1994 na walianzia kwenye madini kula nchi!!.

I have full details makonda aliyekuwa kijakazi wa Samwel Sitta, aliyepelekwa pale na Kikwete kumfanyia ujasusi sita ndiye alitumwa na Hawa watu kummaliza Lissu.

Hata samwel sita ndio walimuua

Hawa watu kundi lao ni hatari Sana ili kulimaliza ni kukata mizizi yake ambayo imebebwa na Kikwete, Rostam, January, Kinana, Mwigulu, Nape &.com.
 
Mmh hii kama ni kweli basi nchi ina mambo mengi sana.
 
Jamaa ukimuona hauwezi hata kumdhania kabisa, anajua kuzisogeza kete zake vizuri kabisa akiwa kwenye public anapenda kuchekacheka sana, ogopa mtu anaecheka na haujui anacheka nini
Hizi mbinu utazipata level ya 5 kwenye mafunzo ya kigaidi.

Level ya 6 unakutana na ile mbinu ya kujiweka wazi na ucheki na wowote,liwalo na liwe.
 
Kama wahuni walifanikisha kumuua Nyerere kisa aliwazuia kuingia ikulu 1995, na hao hao wahuni wakaja kumuua huyo aliyepigiwa chapuo na Nyerere ndugu Ben Mkapa, na hao hao wahuni wakaja kumuua yule aliyependekezwa na Ben Mkapa ndugu Magufuli unadhani how deep they are??? Je watashindwa kumuweka house arrest huyo babu?

Kama ni kweli, kuna watakaovuna wanayoyapanda soon or later.

Hakuna anayeishi milele. Vyote tutaacha nyuma

Kama Sir wetu mkubwa wa wajenzi alikufa, sembuse kina sisi? Aliyapenda maisha ila wapi bwana
 
Back
Top Bottom