one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Polepole anafurahisha sana yeye anawasema wenzake kuwa na magroup wakati huo anasema walishauriana na hao wazee kuwa akachukue form aliposhindwa wakaulizana nani anafaa sasa kuna tofauti gani na hao mitandao. Mzee Warioba ameishi na chuki ndani kwa miaka mingi sijui nini kakosewa. Unaweza kusema ni Rais Samia lakini amekuwa hivi vipindi vingi tu.