Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

Wakataka kupita na Philip Mangula dozi ikabuma,
 

Attachments

Siku mungu akiuamulia ugomvi wa Tanganyika na huyu mstaafu asiye ridhika na ustaafu,mwenye uchu na tamaa mlezi wa mafisadi na wahuni, nita chinja ng'ombe wangu yule mkubwa kabisa
 
Jambo la kufikirisha hili aisee, wana mizizi imeenda mbali sana
 
Jambo la kufikirisha hili aisee, wana mizizi imeenda mbali sana
Na hawaoni shida kupitisha Nyerere Day, ila uhakika wapo vizuri sana tena sana. Maana alipokuwa anamkabidhi uenyekiti Dkt Magufuli alisema nimewaletea Chuma hahaa ila that kind of calmness inatisha sana, yaani ukiwakosea hakuna adhabu nyingine zaidi ya kifo!
 
Babu yupo salama Bwana, tulikuwa wote kwenye Msiba mahali fulani siku kadhaa zimepita na alihutubia hadhira ya Msibani pale.
 
Kwahiyo kila mwenye nafasi kubwa aliekufa aliuliwa? Ulitaka nyerere, mkapa, magufuli waishi miaka mingapi ndo wakifa inakua natural death na siyo kuuliwa?
 
Kichwa pumbu wewe fuvu limejaa mavi hilo
 
Kwahiyo kila mwenye nafasi kubwa aliekufa aliuliwa? Ulitaka nyerere, mkapa, magufuli waishi miaka mingapi ndo wakifa inakua natural death na siyo kuuliwa?
Huyu kitambo alikuwa mgonjwa
Alitakiwa apumzike,arelax tu
Sasa bado anataka mambo ya mkikimkiki

Ova
 
Da tumekuwa mateka wa wahuni
 
Si uende nyumbani kwake?
 
Maskini wasio na mali na vyeo nani huwa anawaua?
 
Warioba ni mjinga sana, anataka kuharibu amani kwa kuwa anajua hana siku nyingi za kuishi, anataka kutuachia vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…