Polepole: Sina Taarifa ya Warioba kushikiliwa nyumbani kwake, jambo hilo siyo factual

Polepole anafurahisha sana yeye anawasema wenzake kuwa na magroup wakati huo anasema walishauriana na hao wazee kuwa akachukue form aliposhindwa wakaulizana nani anafaa sasa kuna tofauti gani na hao mitandao. Mzee Warioba ameishi na chuki ndani kwa miaka mingi sijui nini kakosewa. Unaweza kusema ni Rais Samia lakini amekuwa hivi vipindi vingi tu.
 
Kama Wana uwezo huo na system wanajua ni wakosaji na wameshindwa kudhibiti!!!Basi wapewe nchi wao wafanye wanavyotaka coz wao ni wakuu kuliko system zote za taifa hili hasta deep state hawana uwezo kuliko wao!

ACHA niamini hivyo maana kwa maelezo Yako hai jamaa ni wakuubwaaa know kuliko aiseh!
 
Hii habari nimeiona tena leo X kwenye akaunti ya Tanzania Leaks.

Nikaamua kuitolea uvivu. Watu wa familia kuna rafiki zangu ambao mara nyingi hawapendi kuongelea mambo ya muktadha wa siasa.

Lakini habari ikanigusa nikasema kujua ukweli ni muhimu hapa.

Nikamtafuta mtu wa familia amekanussha na kusema huu ni uzushi tu.
 
Hivi viblogs vya Tanzania Leaks na Tanzania TV Abroad vinaendeshwa na Godbless Lema, mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA. Kazi zao ni uzushi tu
 
Jamaa ukimuona hauwezi hata kumdhania kabisa, anajua kuzisogeza kete zake vizuri kabisa akiwa kwenye public anapenda kuchekacheka sana, ogopa mtu anaecheka na haujui anacheka nini
Ni zero brain kabisa huyo mtu...ameshindwa kabisa kufuta hatua zake kila kitu kibaya alichofanya...huwezi kupata kazi kung'amua kuwa yeye ndie muhusika mkuu...!

Na siku hizi amepoteza nuru kabisa...​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…