Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

Wewe huna akili, upo pamoja unawasapoti wauaji Samia naAbdul. Huna haya, huoni value ya maisha ya hao wanaopotea na ndugu zao.Unajipendekeza punda wewe, chawa unayetegemea ulipwe vipesa vidogo ili ule na huyo Abdul.Jinaume zima unashindwa kujimudu, huna maana wewe.. Huwezi kumwelewa Polepole kwa sababu si wa level yako.
 
Kama Magufuli alikufa kwa vile aliua watu wengi basi huyo mamako atakufa kifo cha mateso makubwa sana kwani ameua wengi kuliko Magufuli na bado anaendelea kuua.
 
Hivi unafikiri kwa kutumia kiungo gani cha mwili wako!!??? Maana akili haiwezi kuwa na ujinga huu, unless otherwise uwe chawa pro-max, na hili linaonekana kwenye ID yako ya Niko pamoja na Samia
 
Kama Magufuli alikufa kwa vile aliua watu wengi basi huyo mamako atakufa kifo cha mateso makubwa sana kwani ameua wengi kuliko Magufuli na bado anaendelea kuua.
Na hao huyo Niko pamoja na Samia anayesema waliuwawa na JPM, asisahau Samia alikuwa makamu wa rais...!!! Ndo masaidizi wake mkuu..!! Hivyo kwa mtazamo huu, walisaidiana kwenye kuwauwa hao anaosema waliuwawa na JPM
 
Sema umemchoka wewe
 
NJAA HIZI
 
Tutawabana hadi mtajane wauaji wakubwa nyie.
 

Sometimes mngekuwa mnakaa kimya tu. Sasa wewe na hako katheory Kako tukuamini kuliko the second man wake. Au unajaribu kuchokoza ili aseme zaidi.... Subiri hiyo saa 3 usiku.
 
Leo ndo Leo hatumwi mtu dukani
 
Tupo ambao hatujamchoka...anatupa ujumbe ambao tulikuwa tumefichwa....kujua tu tutakuwa tumefaulu.....wewe ukimchoka acha kumfuatilia...tuachie wenye pawa ya kumfuatilia....wewe nenda kwenye kampeni za kutiki😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…