Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

Kizimkazi hasafishiki na genge lake, wao ndio walimuua dhalimu magu.
 
Funua kinyelo ili kunguni aingie vizuri, naona akili imehamia huko
 

MIMI SIJAMCHOKA NATAKA NIMSIKILIZE WEWE NA NANI MMEMCHOKA?
 
Umechoka wewe na nani? Umeamua kuwa kibaraka wa Ccm kwa posho ya elfu saba
 
Hatujamchoka Polepole ila tumemchoka Samia
 
Write your reply...ajabu familia ya magufuli mda wote wapo bega kwa bega na familia ya jk na samia sasa sijui mtu ujue mzazi wako kauliwa na familia fulani halafu ubaki na mahusiano nayo. Pia chadema wanasahau kua wao ndio walifurahia kifo cha jpm na kusema maombi yao yamejibiwa
 
Weka popote kikao cha cdm kilichokaa na kupitisha azimio la kufurahia Magufuli kufariki, maana chama ni vikao, na sio watu binafsi huku mitandaoni. Watu waliofurahia kifo cha Magu ni wale wote aliowafanyia ukatili, na ni haki yao kufurahia mtesi wao kufariki. Una mengine?
 
We kilaza, sasa hapo ndo ulitaka kusema nini?
Hawa Vijana chawa wanachefua Lugha za Watu. Ila ndo hao wa aina hii CCM imewajaza kwenye Positions za ajira na za Appointment, eti kwa kisingizio inawapa Nafasi Vijana kwenye Teuizi za Bibi. Unakuta Kijana wa upeo huu eti Kesho Mkuu wa Wilaya X, au DED Halmshauri ya Korogwe ! It is insane !
 
Nani alimua mzee KIBAO na kwann?
Anzory gwanda yupo wapi?
Ben Sanane yupo wapi?
Alfonsso mawazo yupo wapi?
Mdude chadema yupo wapi?
Nani alimteka soka?
Ni nani Huyu Mafwele ? Alienda kwa majaliwa kufanya nn?
 
FREEE MDUDE PLEASE.PIA NO REFORM NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…