Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Angalau hata kama wanampa Nafasi ya Kumsilikiliza , hata hilo linatosha kwa kuanzia. Elimu anayowapa na kuwafunua Macho, kuna kitu anawaongezea na hawatakuwa kama walivyokuwa. Baada ya hapo ndo wataanza kuchukua hatua, kwanza wafumbuliwe Macho na hicho Balozi HPP ndicho anakifanya, na tumpe moyo aendelee na hizo Jitihada zake. Asiogope vitisho vya VIJANA CHAWASwali zuri sana
Shida yetu watanzania kuogopa kuchukua maamuzi magumu
Na LISSU Yuko Wapi? Nani aliamuru apelekwe Huko?Nani alimua mzee KIBAO na kwann?
Anzory gwanda yupo wapi?
Ben Sanane yupo wapi?
Alfonsso mawazo yupo wapi?
Mdude chadema yupo wapi?
Nani alimteka soka?
Ni nani Huyu Mafwele ? Alienda kwa majaliwa kufanya nn?
Sure! Lakini baada ya kumsikiliza tuwe tunawaza japo ku push mada na kuzifanyia kazi, kumsikiliza bila ku execute sawa sawa na hamna kitu mkuu.Angalau hata kama wanampa Nafasi ya Kumsilikiliza , hata hilo linatosha kwa kuanzia. Elimu anayowapa na kuwafunua Macho, kuna kitu anawaongezea na hawatakuwa kama walivyokuwa. Baada ya hapo ndo wataanza kuchukua hatua, kwanza wafumbuliwe Macho na hicho Balozi HPP ndicho anakifanya, na tumpe moyo aendelee na hizo Jitihada zake. Asiogope vitisho vya VIJANA CHAWA
TUKO PAMOJA NA HPPHizi ni hisia tu, kamuua nani yako mpaka ushikwe na uchungu? Magu mwamba na nusuuu #MZALENDO
Na tuko na pole pole Mwa Mwi
Kuna mtu kakulazimisha kumsikiliza?Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania yamtafute na kumuua.
Yaliua watu wake wa karibu kwanza na yalipomuua muhusika mkuu ambaye ni Magufuli Mungu akayaondoa mapepo ya COVID-19 Tanzania.
Apart from mihemko, huu ndio ukweli nilioupata kitini kwa Mungu.
Kama ninadanganya basi Mungu wa mbinguni anihukumu Mimi.
Ningeandika ya kwangu au ya kusadikika ningelijibu kila post kutetea Uzi wangu lakini sitafanya hivyo.
Wapo watakaouliza mbona fulani kafanya baya hili hajafa, wengine watasema je, kila anayekufa anaadhibiwa na Mungu.
Hayo jijibu wewe mwenyewe ila jua tu kila mtu atapata stahiki zake kwa wakati wake.
Ni sawa Kabisa Yeye amefungua njia na kujitoa maisha yake kuwafunua macho wananchi, na sisi wengine tumuunge mkono kwa kuongezea pale panapo hitaji kujazia, ili hatimaye Wananchi wafumbuke macho. Wakisha fumbuka Macho, hawatahitaji tena kuambiwa cha kufanya, tayari watakuwa wamejua wafanye nini. Mamlaka wanayo ya kufanya Kitu, na SABABU WATAKUWA WAMEISHAZIJUA ZA KUWAFANYA WACHUKUE HATUA, NIA WANAYO NA UWEZO WA KUCHUKUA HATUA WATAKUWA WAMEUPATA TAYARI. HAPO KWA NINI WASICHUKUE HATUA !Sure! Lakini baada ya kumsikiliza tuwe tunawaza japo ku push mada na kuzifanyia kazi, kumsikiliza bila ku execute sawa sawa na hamna kitu mkuu.
Unasema haya kama vile hujui tabia za watanzania, wagumu na waoga kuchukua hatua tofauti na nchi jirani hapo.Ni sawa Kabisa Yeye amefungua njia na kujitoa maisha yake kuwafunua macho wananchi, na sisi wengine tumuunge mkono kwa kuongezea pale panapo hitaji kujazia, ili hatimaye Wananchi wafumbuke macho. Wakisha fumbuka Macho, hawatahitaji tena kuambiwa cha kufanya, tayari watakuwa wamejua wafanye nini. Mamlaka wanayo ya kufanya Kitu, na SABABU WATAKUWA WAMEISHAZIJUA ZA KUWAFANYA WACHUKUE HATUA, NIA WANAYO NA UWEZO WA KUCHUKUA HATUA WATAKUWA WAMEUPATA TAYARI. HAPO KWA NINI WASICHUKUE HATUA !
Umeyataka mwenyewe ha ha ha ha ha.Ahahaha 🤣 🤣 🤣
Aisee vijana mna matusi makubwa mno.
Hasira kitu kibaya sana
Tabia na muonekano wa Kiumbe chochote hutikana na vitu 2 , Mazingira aliyomo na Vinasaba ( Phytogenic and Genetic) . Hapa Watanzania si kwamba ni waoga au wagumu wa kuchukua hatua kutokana na Vinasaba vyao Hapana, Mazingira yakisha badilika huo Upole au Woga au Upenda Amani hiyo ya bandia isiyojengwa kwenye misingi vyote vitabadilika na wao watakuwa si wale Waogoa, wala wapole wala wapenda amani tena tunaofikilia wameumbika kuwa hivyo !. Ni suala la Muda kadili Wananchi watakavyozidi kueleimishwa na na watu Wapenda Taifa Lao kama Balozi HPP, na wananchi wengi kutambua madadu ya Mfumo wetu na mambo yanavyozidi kuharibikia, Ingawa Mzee Yule wa Kule Pwani alisema eti Tusubilie Labda Mambo yatakapokuwa Yameharibika Sana Ndipo Tufanye Mabadiliko ya Uongozi!Unasema haya kama vile hujui tabia za watanzania, wagumu na waoga kuchukua hatua tofauti na nchi jirani hapo.
Mbona Tindo na wewe You are Contradictory in your views, sasa kumuua Dhalimu kulikuwa kubaya? Wewe ulishasema Unclue Magu alikuwa Dhalimu na aliuawa, ulitaka wamuache Dhalimu aishi aendelee kufanya Udhalimu? Haueleweki wewe upo kwenye kundi la Popo au la Kwelea kwelea?Kizimkazi hasafishiki na genge lake, wao ndio walimuua dhalimu magu.
Nchi ilipofikia na tunapoelekea, uoga wetu tulioweka kwenye vinasaba kama ulivyosema utatugharimu pakubwa sana bila kuchukua hatua sahihi na kwa wakati, muda si rafiki, wamejipanga sana kutuacha kwenye dimbwi la ufukara huku wao wakineemeka.Tabia na muonekano wa Kiumbe chochote hutikana na vitu 2 , Mazingira aliyomo na Vinasaba ( Phytogenic and Genetic) . Hapa Watanzania si kwamba ni waoga au wagumu wa kuchukua hatua kutokana na Vinasaba vyao Hapana, Mazingira yakisha badilika huo Upole au Woga au Upenda Amani hiyo ya bandia isiyojengwa kwenye misingi vyote vitabadilika na wao watakuwa si wale Waogoa, wala wapole wala wapenda amani tena tunaofikilia wameumbika kuwa hivyo !. Ni suala la Muda kadili Wananchi watakavyozidi kueleimishwa na na watu Wapenda Taifa Lao kama Balozi HPP, na wananchi wengi kutambua madadu ya Mfumo wetu na mambo yanavyozidi kuharibikia, Ingawa Mzee Yule wa Kule Pwani alisema eti Tusubilie Labda Mambo yatakapokuwa Yameharibika Sana Ndipo Tufanye Mabadiliko ya Uongozi!
Tutakuja Kujikomboa Mara ya Pili, Mara ya Kwanza ilikuwa kutoka Mikononi mwa Udhalimu wa Wakoloni, na sasa Ukombozi tunaopigania ni wa Kupata Uhuru mara ya Pili kutoka Mikononi mwa Mafisadi waliojipenyeza kwe Nchi Yetu chini ya Mwavuli wa wanasiasa wasiokuwa wazalendo na Nchi hii. Hizi harakati za Second Liberation tunaye Kiongozi tayari wa kuziongoza, Hon. Ambassador HPP. Mwalimu tunamshukuru aliongoza First Liberation tukajinasua kutoka mikononi mwa Wakoloni wa Kigeni , Ingawa haya Mapambano ya Kujinasua kutoka kwenye makucha ya Ukoloni wa Ndani ni magumu zadi ya yale ya kumuondoa Mkoloni wa Kiingereza. Ila uwezo wa kushinda haya mapambano wananchi wanao. Tusikate tamaa kamwe, Tumuunge Mkono HPP et al !Nchi ilipofikia na tunapoelekea, uoga wetu tulioweka kwenye vinasaba kama ulivyosema utatugharimu pakubwa sana bila kuchukua hatua sahihi na kwa wakati, muda si rafiki, wamejipanga sana kutuacha kwenye dimbwi la ufukara huku wao wakineemeka.
Umemchoka wewe sisi wengine tunafurahia nondo zake.Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania yamtafute na kumuua.
Yaliua watu wake wa karibu kwanza na yalipomuua muhusika mkuu ambaye ni Magufuli Mungu akayaondoa mapepo ya COVID-19 Tanzania.
Apart from mihemko, huu ndio ukweli nilioupata kitini kwa Mungu.
Kama ninadanganya basi Mungu wa mbinguni anihukumu Mimi.
Ningeandika ya kwangu au ya kusadikika ningelijibu kila post kutetea Uzi wangu lakini sitafanya hivyo.
Wapo watakaouliza mbona fulani kafanya baya hili hajafa, wengine watasema je, kila anayekufa anaadhibiwa na Mungu.
Hayo jijibu wewe mwenyewe ila jua tu kila mtu atapata stahiki zake kwa wakati wake.
kwa hiyo waliokufa kwa corona wote ilikuwa ni kisasi cha munguAbadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania yamtafute na kumuua.
Yaliua watu wake wa karibu kwanza na yalipomuua muhusika mkuu ambaye ni Magufuli Mungu akayaondoa mapepo ya COVID-19 Tanzania.
Apart from mihemko, huu ndio ukweli nilioupata kitini kwa Mungu.
Kama ninadanganya basi Mungu wa mbinguni anihukumu Mimi.
Ningeandika ya kwangu au ya kusadikika ningelijibu kila post kutetea Uzi wangu lakini sitafanya hivyo.
Wapo watakaouliza mbona fulani kafanya baya hili hajafa, wengine watasema je, kila anayekufa anaadhibiwa na Mungu.
Hayo jijibu wewe mwenyewe ila jua tu kila mtu atapata stahiki zake kwa wakati wake.
Ulitakwa wafanye nini? Tuambie, kwani kujua yanayotokea ni jambo baya?Hivi polepole akishaongea , nyie wananchi huwa mnachukua hatua zipi au mnaishia tu kumsikiliza ?