Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

Kama kuna ndugu Yako alikufa na covid ni mapepo ya covid na kisasi Cha huyo unaemuita mungu .Unajisikiaje?
 
Kila mtu anapenda kusikia kuhusu jambo linalo mgusa yeye kwa mfano mimi ningelipenda kufahamu walio husika kummiminia mvua ya risasi mh. Tundu Lissu, akiwataja hao roho yangu itakuwa kwatu! kwatu!
 
Sikusikia habari hii ya Kifo cha Magufuli. Asante kwa taarifa, ngoja sasa nikajaze Bando ili nimsikilize vizuri.

Tunapenda sana style ya taarifa za Polepole. Mungu ambariki Polepole
 
Kila mtu anapenda kusikia kuhusu jambo linalo mgusa yeye kwa mfano mimi ningelipenda kufahamu walio husika kummiminia mvua ya risasi mh. Tundu Lissu, akiwataja hao roho yangu itakuwa kwatu! kwatu!
Mimi napenda Kusikia, kutoka kwenu Hivi Kumuondoa Kamanda Mbowe na kumkabidhi Uongozi TL chama kimepata manufaa yapi ukilinganisha hawa wawili .
 
Mimi napenda Kusikia, kutoka kwenu Hivi Kumuondoa Kamanda Mbowe na kumkabidhi Uongozi TL chama kimepata manufaa yapi ukilinganisha hawa wawili .
Mkimtoa huko mliko muweka ndiyo tutakupa jibu zuri

20 years of chairmanship VS 3 months of chairmanship

Kiongozi wa upinzani kwa awau 4 VS kiongozi bila upinzani wa vyama vingi ambao CCM imeufuta kwa kutofuata katiba ya nchi

Mnaongoza nchi kwa mfumo wa unyumbu wa kisiasa

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi kwanjia ya kujipendekeza ama kwa uoga wa kuigiza kwa viongozi wenu, (unafiki), a.k.a kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Umechoka ww na Nan? Na Kwa nn umech

Kwa nn inakuuma na kukuchosha ukisia walio muua na sababu za kuwawa kwake? Kwan ulihuska Kwa kias gan? Kwa nn unakua na mchecheto au damu ya marehem inakulilia?
 
Mungu amekusikia atatuma Tauni, njaa, majipu, na nzige wa chuma ktk ukoo wenu fanya haraka utubu
 
Nawaweka wote wazi kuanzia dhalimu magu, na wenzake waliomfanyizia. Yaani wote kwangu ni hao hao. Ningetaka kumtetea Magu nisingeweka hilo jina dhalimu.
 
ALIKUAMBIA UMFUATILIE ILI UJUE ANACHOTAKA KUZUNGUMZA?
 
Polepole anajifanya hamnazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…