GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wakwenda kumtoa mgombea mwenza( Nchimbi) ila kwa sababu mgombea mwenza ni mjanja tu, na ndio maana ile siku Kikwete pale Kawe alisema Nchimbi anajua.

Wakamkaba mama Samia huku na huku, akaogopa wakamtisha kwamba mama kama unachoma betri na sisi tunachomoa taa mama akayumba, kwahiyo matokeo yake wakasema wanabadilisha utaratibu wa uchaguzi, lakini ni baada tu ya kushindwa kusimamia uongozi


​
 
Nae anatapatapa tu...
Kama anatapatapa, basi rais anaweweseka!
Hii ni nchi ambayo inaendeshwa na wasio na maana ktk jamii. Huwezi kuwa rais wa nchi ukamtegemea aliyestaafu kukuongoza wewe. Bahati mbaya aliyestaafu hakuwa na uwezo wa kuiongoza nchi badala ya kufurahisha kila mtu, na mahawala, marafiki.

Huyu ni mtu mzuri tu! Polepole apongezwe. Hata kama alikosea huko nyuma, kwa sasa apewe heko! Ametusaidia kufahamu mambo ambayo wao wanayaita ni siri, wakati wanaiibia nchi. Nchi gani inayolea mtu mmoja na kumtumia kuibia chi nzima? KIla kitu Rostam. Naye anaona ni kazi nzuri anaifanya na kuitwa mfanyabiashara mashuhuri, wakati anatumika na wezi wa nchi.
 
Siansa zimekua siansa na ndoa zimekua ndoano, acha waendelee kuchuana, natazama...
 
Back
Top Bottom