GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uwezi kuongelea diabetes hasa type 2 kama hujui hata mchakato wa chakula unachokula taratibu za mwili kugeuza kuwa glucose.

Shughuli ya glucose kwenye mwili ni ipi, inasambazwa vipi mwilini, excess glucose inakuwa stored wapi na vipi mwili ukishindwa kupokea glucose (hapo ndio mwanzo wa type 2 diabetes). Sasa ni sababu zipi zinafanya mwili ushindwe kuhifadhi glucose.

Diabetes type 2 isikie tu, ukielewa pathophysiology ya huo ugonjwa mwili lazima ukusisimuke. Huo ugonjwa auna dawa mwili ukishafikia hatua ya insulin resistance wa kuhifadhi glucose (story ni ndefu) to how you get there. My god kinachofuata baada ya hapo ukiwa na excessive glucose kwenye damu (ndio msingi wa diabetes) ni balaa.

Sema mungu niepushe na ili gonjwa, hakuna dawa ya diabetes popote duniani ya kutibu huo ugonjwa completely. Dawa za diabetes ni ku-manage observed side effects zinazoonekana (that’s why it’s called silent killer).

Overall ukishakuwa na diabetic ni wewe kuji-control, vinginevyo high glucose kwenye blood stream unakuwa vulnerable to 100 other medical conditions.

Ukiielewa pathophysiology ya diabetes ni ujinga wa hali ya juu kusema kuna dawa ya diabete. Simply huyo mtu hajui pathophysiology ya ugonjwa wenyewe; it’s just stupid to say kuna dawa.

Kuhusu NHIF kupanga bei tafuta clip kipindi cha mgogoro wa watoa huduma na malipo ya NHIF. Yupo mtaalamu mmoja (Dr) ambae apparently ni trained in management decisions making akidadavua mambo. Kwa jicho la nje uwezi elewa mambo aliyokuwa anaongelea ni kwa misingi ya ‘services costing’ in accounting terms kwenye maamuzi yao ya viwango vya kulipia gharama huduma za afya na dawa.

NHIF hawajaamka asubuhi moja tu na kujibunia viwango vyao vya malipo ya dawa na huduma kwa services providers; kuna accounting rationale.

I support Polepole zidi ya majizi, lakini kuna maswala anaongea ujinga tu ambao hana uelewa nayo.

Sio kila kitu hapo hakina doa kuna mapungufu mengi sana, ila Polepole hana wit ya kuyatolea ushauri, he just comes across as stupid.
Sema mkuu shida huwa inaanzia kwenye uelewa wa hayo magonjwa yenyewe kuna wakati vile tunavyodhani tunavielewa havipo kama vile tudhaniavyo. Binafsi nimepata nafasi ya kusoma cha Daktari Boaz Mkumbo, nimepata kujifunza utofauti wa uelewa wetu katika vyanzo vya maradhi pamoja na uhusiano na lishe.
 
Mda utasema always naamini kwenye mda hii nchi haiwezi kua mali ya watu wachache
Kila mara anasema ana taarifa zao, na anaongea kwa mamlaka makubwa.

Polepole alikuwa karibu na uongozi wa juu wa chama, serikali kwahiyo anapewa taarifa ya kila kinachoendelea pamoja na yeye kuwa shushushu mwandamizi.

Anaongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa anawaonya na kutoa maelekezo kwa Samia, Kikwete, Rastam na genge lao kwamba watafute muafaka wa kitaifa kabla siku hiyo muhimu kuja.

Anasema wana ushahidi wa kutosha, wote walio kwenye system walinde ushahidi, anawaonya hawa Samia, Kikwete na wahuni wengine, watafungwa, wengine watanyongwa, mali zao kutaifishwa.

Nahisi atakuwa na kundi kubwa la wazalendo nyuma yake kutoka serikalini, CCM, JWTZ, usalama. Ndio wanaompa taaarifa, hao ndio wanaomlinda. Ni kama wanasubiri kitu flani kumtoa Samia madarakani.
 
Kuongea live kwenye vyombo hivi vyote vya habari ni rahisi kuwa tracked ukiwa hauko vizuri. Hapo wanaokusikiliza kwa umakini, wengi wao ni hao wanaokuwinda, usalama, majeshi yote, watu wanaotafuta roho yako usiku na mchana. Nafikiri ndiye mtu anayetafutwa kuliko yoyote kwa sasa na wahuni.

Anasema ataendelea kuongea, sasa hivi mara mbili kwa wiki wahuni wakishupaza shingo. Walimteka dada yake, akawapa onyo arudishwe mara moja. Wakamrudisha mapema. Huyu amejitoa mhanga.
Anatafutwa kosa gani sometimes Aya mambo yafike mwisho
 
I got a flat earth believer it seems.
Hivi kwa nini unajifunga kwa kusema, "hakuna dawa ya kisukari"?

Kwa nini usijiulize, tutaweza vipi kutafuta dawa?

Nimekuambia Ivermectin inatibu na nimeelezea kwa nini inatibu, hutaki. Basi fanya uchunguzi wako mwenyewe uone kama itafanya kazi, hutaki.

Kwa taarifa yako, hata kansa, big pharma wanasema hivyo hivyo. "hakuna dawa" fanya treatment za chemo na radiation. Wakati high dose ya Ivermectin+mebendazole imekuwa ikitibu hadi stage 4 kansa, tena ile iliyosambaa, bila madhara kama ya chemo.

Sasa unataka kungojea pfizer wakufanyie uchunguzi, wa dawa ya kisukari? Aisee utasubiri mpaka kiama.

Kwa taarifa yako, hata hizi medical journals ziko controlled na the big pharma. Studies ambazo zinatishia biashara zao wanaziondoa au haziwi approved.
 
First things first.

Tayari humtambu, hana qualification za kuitwa au kua mgombea halafu muda huo huo huyo asiye qualify kuwa mgombea unataka aongelee haki kwenye kampeni.

Sijui hata kama tun
Q
Nahisi huelewi naongea nini?
Anatumia lugha ya kawaida sana. Kutenda haki kidogo kwa hili Taifa ni Samia anatakiwa kujiuzulu alternative atatolewa kwa fedheha pengine nchi kuingia kwenye machafuko, raia kuumizwa na wengine kupoteza maisha.

Nimeeleza kwa kirefu sana hapo juu. Kama hujaelewa, let's move on.
 
Sema mkuu shida huwa inaanzia kwenye uelewa wa hayo magonjwa yenyewe kuna wakati vile tunavyodhani tunavielewa havipo kama vile tudhaniavyo. Binafsi nimepata nafasi ya kusoma cha Daktari Boaz Mkumbo, nimepata kujifunza utofauti wa uelewa wetu katika vyanzo vya maradhi pamoja na uhusiano na lishe.
Uko sahihi, miili yetu ni complex sana.

Hata pale tunapodhani tumeelewa jambo fulani, kama ku diagnosis ugonjwa, unakuta kumbe sivyo.

Ni kama zamani walivyo kuwa waki treat wanawake hysteria, kila kitu lilikuwa wrong, kutoka kuutambua ugojwa mpaka njia ya kuutibu.
 
Kosa lake according to Samia, wahuni ni kujiuzulu ubalozi na kutoa maoni yake kuhusu matatizo na suluhu ya matatizo ya nchi hii, haki yake kikatiba.
Ni mambo flani hivi ya ajabu sana kosa la Polepole na Gwajima na Lissu kila nikichimba naona hawana kosa lolote zaidi ya uhuru wao wa kujieleza ambao katiba imeutoa
 
Ni mambo flani hivi ya ajabu sana kosa la Polepole na Gwajima na Lissu kila nikichimba naona hawana kosa lolote zaidi ya uhuru wao wa kujieleza ambao katiba imeutoa
Ajabu kwelikweli. Samia anataka kila mtu awe chawa kama Mwijaku, Dotto Magari. Vyombo vyote vya habari, vyama vyote vya siasa vimenyamazishwa including CCM. Scandal, ufisadi mkubwa kama Samia na Kizigha hakuna wa kuchunguza.

Ukitoa maoni ambayo Samia hayapendi unawindwa kama ya Gwajima, Polepole, Ndugai, Lissu, ukiwa huru unafungiwa kama JF.

Genge la Samia wangekuwa na uwezo, wana control JF asilimia 80% ya wanachama wa JF wangekuwa wametekwa, kuuwawa au magereza sababu ya kutumia uhuru wao kutoa maoni na kushauri. Machawa tu wangebaki salama hapa JF.
 
Uko sahihi, miili yetu ni complex sana.

Hata pale tunapodhani tumeelewa jambo fulani, kama ku diagnosis ugonjwa, unakuta kumbe sivyo.

Ni kama zamani walivyo kuwa waki treat wanawake hysteria, kila kitu lilikuwa wrong, kutoka kuutambua ugojwa mpaka njia ya kuutibu.
Sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom