GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bora ajikite huku kwenye mambo ya udhalimu wa CCM, I am all in support of his endeavour against majizi,

Lakini aache kuongelea mambo ambayo hana technical knowledge nayo, he sounds stupid. Mfano kusema type 2 diabetes ina dawa kwa mtu mwenye uelewa wa pathophysiology ya ugonjwa hawezi ongea ujinga huo (hiyo ni life condition) you got to understand insulin resistance and how you get to that stage. Once you reach that stage there is no coming back, it becomes a management health condition hakuna dawa ya ku-reverse insulin resistance.

Kuongelea NHIF pricing awajipangii bei tu out of the blue. Fisadi Ummy mwalimu aliwahi mleta mtaalamu (mshauri wake) akatoa maelezo ya kina ya hesabu za services costing za kupanga dawa na gharama za huduma za afya kama msingi wa malipo yao (that’s how health insurance make payments decisions)

I support Polepole wholeheartedly but he should stop offering advise on matters he knows nothing about; otherwise he just sound bitter and stupid.
Ni advice sio advise.
 
Sasa km serikali haihusiki inakuwaje inagharamia hizo dawa?
Mbona km haupo sawa kichwani?
Watu wanafanya mazoezi na bado wanaumwa,sijui anaongea nini? jukimu la serikali linabaki palepale tu
 
HP muda si mrefu anaenda kulipua boom la pesa za NHIf kipindi cha uchaguzi
 
Punguza ujuaji, niliandika kama ‘verb’ or ‘noun’ Kwenye sentence.
Kama ulivyomrekebisha Polepole kubali nawe kuwa kuna mahali unaweza ukateleza.

Sasa kiingereza cha wapi kina two main verbs zimeongozana?

Punguza ujuaji, kubali kujifunza (hiyo advise uliyoandika ni verb na sio noun, hapo ulitakiwa utumie advice ambayo ni noun).
 
Ni dhahiri, Polepole hana msaada wa maana kwa waTanzania.

Hizi porojo zake hazisaidii lolote kupambana na Genge la Samia Suluhu Hassan.

Ni kama anawapotezea wenye lengo la kuondoa huu uchafu muda tu basi.

Habari za akina Nchimbi kuwepo au kutokuwepo, zinasaidia kitu gani katika hali ya sasa!
Mkuu jina lako na ID yako ni kongwe hapa JF, Nchimbi akiwa makamu wa Raisi, Raisi akipatwa na lolote kutoweza kuendelea na majukumu yake nani anachukua nafasi yake!?, unahisi yuko pale bahati mbaya!??
 
Dah!
Kwa nini unaniuliza swali kama hili sasa.
Kwani huyo aliepo sasa hivi wewe unamwonaje?

Kuna nafuu yoyote waTanzania wanayoweza kuipata kwa sababu tu ya nani yupo pale badala ya Nchimbi? Niambie, wewe; ni nani unamwona nafuu ya mwenzake.
Kwani huoni sasa hivi nchi inavyo kwenda mrama; huyo unayemtegemea yupo wapi kuonyesha unafuu wake?

Huwezi kupataa nafuu yoyote kutokana na hawa wote wanaovuruga taifa sasa hivi.
 
Nimekuelewa vyema mkuu, tangu awali naamini tuko upande mmoja wa kuitakia mema Tanzania yetu.
 
Mi mwanzo nilidhani ana solution, nilipoona anaanza kusema " ccm na raisi wangu mana samia naomba muongee Haki kwenye kampeni" niliishia hapo kusikiliza.

Yeye alituaminisha mgombea hamtaki, hakupatikana kihalali, ugombea wake ni batili, sasa leo unawaambia tena wafanye nini kwenye kampeni haram?

Liwalo na liwe, anapuyanga akae kwa kutulia.

Angenitumia mimi kama mshauri wake tungeshapata majibu.
 
Sio tu hamtaki mgombea, hautaki hata uchaguzi wote, kuanzia uchaguzi wa ndani wa CCM, hadi wa kitaifa. Sababu zake wapinzani wa kweli wamefungiwa, mpinzani wa CCM alitakiwa ajiuzulu sababu miaka 10 yake imepita.

Anaonyesha jinsi ambavyo hawajitambui kwa ahadi zao kama trekta milioni 10, badala ya at least kuzungumzia masuala ya msingi kama Afya, rushwa, ufisadi, demokrasia, katiba mpya, haki za binadamu, bima, utekaji, uonevu, utesaji, mfumuko wa bei, dili za hovyo,uuzaji holela wa rasilimali za nchi.

Kila mara anasema Samia ajiuzulu tuje kwenye meza ya maelewano, tuje na muafaka mpya wa kitaifa, sheria zibadilishwe, tuingie kwenye uchaguzi tukiwa wamoja. Huwa anasema kwamba hakuna uchaguzi octoba 29 hicho ni kiini macho. Mfumo wa Inec, CCM na nida umetayarishwa ili waibe kura.

Wengi inonekana hamsikilizi kwa umakini, kuanzia mwanzo hadi mwisho wa speech zake.
 
Kila mara anasema ana taarifa zao, na anaongea kwa mamlaka makubwa.

Polepole alikuwa karibu na uongozi wa juu wa chama, serikali kwahiyo anapewa taarifa ya kila kinachoendelea pamoja na yeye kuwa shushushu mwandamizi.

Anaongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa anawaonya na kutoa maelekezo kwa Samia, Kikwete, Rastam na genge lao kwamba watafute muafaka wa kitaifa kabla siku hiyo muhimu kuja.

Anasema wana ushahidi wa kutosha, wote walio kwenye system walinde ushahidi, anawaonya hawa Samia, Kikwete na wahuni wengine, watafungwa, wengine watanyongwa, mali zao kutaifishwa.

Nahisi atakuwa na kundi kubwa la wazalendo nyuma yake kutoka serikalini, CCM, JWTZ, usalama. Ndio wanaompa taaarifa, hao ndio wanaomlinda. Ni kama wanasubiri kitu flani kumtoa Samia madarakani.
 
Lakini aache kuongelea mambo ambayo hana technical knowledge nayo, he sounds stupid. Mfano kusema type 2 diabetes ina dawa kwa mtu mwenye uelewa wa pathophysiology ya ugonjwa hawezi ongea ujinga huo (hiyo ni life condition) you got to understand insulin resistance and how you get to that stage. Once you reach that stage there is no coming back, it becomes a management health condition hakuna dawa ya ku-reverse insulin resistance.
Have you heard of autophagy? This natural process helps restore mitochondrial function, which can improve insulin sensitivity. The body initiates autophagy after approximately 24 hours of fasting, provided adequate electrolyte intake is maintained.

Ivermectin, for instance, has been shown to induce autophagy and apoptosis. These processes help eliminate free radicals and other cellular debris that can disrupt the endocrine system. By regulating excessive hormone levels, such as cortisol, ivermectin may help improve insulin sensitivity.
 
Despite all the fancy medical jargon, yet you don’t come across as a medic or at least fully understand diabetes.

Differentiate between hyperglycaemia (and pre diabetic) where there all sorts of treatments; and when diabetes occur, where there is no cure.

If you have ever lived in any developed nation whereby health services are free, you’d understand how the burden cost of treating diabetes is a major stress in their health budget.

A company which comes up with a cure for type two diabetes its share price would quadruple overnight. Mainly because it is very expensive to treat diabetes patients, therefore no one should fool you they cure.

Back to the condition, diabetic is asymptomatic (except for excessive urination) early on. Now I don’t want to go into all the info to how ‘osmotic diuresis’ begins. Nonetheless if you missed early cues and seek intervention and develop the full condition there is no cure.

Why there is no cure, if your labelled diabetic means the condition has not only damaged cells but other organs which traditionally store excessive glucose like the kidney and probably the liver. This when it becomes tricky to intervene (that’s another long story) if you don’t eat a problem and if you eat the wrong food problem.

Ni hivi hakuna dawa ya kutibu diabetes acheni kupotosha umma. Wewe ukishaambiwa una kisukari usifanye mzaha, elewa muda wote mwili unaaribiwa huko ndani. Njia pekee ni ku-manage ugonjwa ni kufuata masharti ya kuishi nao.

Kuongezea tu ugonjwa wa kisukari nchi zinazoongoza ni south Asia, hasa India. Nchi yeyote duniani ugonjwa wa kisukari kundi lenye high prevalence uwa wahindi, sasa hiyo chai si ingewasaidia wenyewe kwanza.
 
Back
Top Bottom