GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Despite all the fancy medical jargon, yet you don’t come across as a medic or at least fully understand diabetes.

Differentiate between hyperglycaemia (and pre diabetic) where there all sorts of treatments; and when diabetes occur, where there is no cure.

If you have ever lived in any developed nation whereby health services are free, you’d understand how the burden cost of treating diabetes is a major stress in their health budget.

A company which comes up with a cure for type two diabetes its share price would quadruple overnight. Mainly because it is very expensive to treat diabetes patients, therefore no one should fool you they cure.

Back to the condition, diabetic is asymptomatic (except for excessive urination) early on. Now I don’t want to go into all the info to how ‘osmotic diuresis’ begins. Nonetheless if you missed early cues and seek intervention and develop the full condition there is no cure.

Why there is no cure, if your labelled diabetic means the condition has not only damaged cells but other organs which traditionally store excessive glucose like the kidney and probably the liver. This when it becomes tricky to intervene (that’s another long story) if you don’t eat a problem and if you eat the wrong food problem.

Ni hivi hakuna dawa ya kutibu diabetes acheni kupotosha umma. Wewe ukishaambiwa una kisukari usifanye mzaha, elewa muda wote mwili unaaribiwa huko ndani. Njia pekee ni ku-manage ugonjwa ni kufuata masharti ya kuishi nao.

Kuongezea tu ugonjwa wa kisukari nchi zinazoongoza ni south Asia, hasa India. Nchi yeyote duniani ugonjwa wa kisukari kundi lenye high prevalence uwa wahindi, sasa hiyo chai si ingewasaidia wenyewe kwanza.
Mitochondrial dysfunction is a key factor in diabetes, as it impairs both insulin production and effectiveness, resulting in elevated blood sugar levels. It is intricately involved in various metabolic processes essential for glucose regulation and can lead to insulin resistance and impaired beta-cell function.

Ivermectin helps to mitigate mitochondrial dysfunction by inducing autophagy, reducing oxidative stress, regulating inflammation, promoting mitochondrial biogenesis, and enhancing mitochondrial efficiency. These actions collectively contribute to improved mitochondrial function and overall cellular health by improving insulin sensitivity, reducing blood sugar levels, and enhancing overall metabolic health.
 
Huyo mtu tayari anajutia kujiuzuru kwake. Sasa anatafuta tu njia ya kusamehewa baada ya haramu hii inayo endelea sasa hivi.
Aisee, nenda lab corps uombe wakufanyie kipimo cha D dimer.
 
Kila mara anasema ana taarifa zao, na anaongea kwa mamlaka makubwa.

Polepole alikuwa karibu na uongozi wa juu wa chama, serikali kwahiyo anapewa taarifa ya kila kinachoendelea pamoja na yeye kuwa shushushu mwandamizi.

Anaongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa anawaonya na kutoa maelekezo kwa Samia, Kikwete, Rastam na genge lao kwamba watafute muafaka wa kitaifa kabla siku hiyo muhimu kuja.

Anasema wana ushahidi wa kutosha, wote walio kwenye system walinde ushahidi, anawaonya hawa Samia, Kikwete na wahuni wengine, watafungwa, wengine watanyongwa, mali zao kutaifishwa.

Nahisi atakuwa na kundi kubwa la wazalendo nyuma yake kutoka serikalini, CCM, JWTZ, usalama. Ndio wanaompa taaarifa, hao ndio wanaomlinda. Ni kama wanasubiri kitu flani kumtoa Samia madarakani.
Pamoja sana, na hivi ndivyo ninayomuelewa Pole pole, tena majuzi hapa niliwahi kutumia maneno kama yako (nikisema, "anaongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa sana").... nikimjibu jamaa mmoja.
 
Pamoja sana, na hivi ndivyo ninayomuelewa Pole pole, tena Kuna majuzi hapa niliwahi kutumia maneno kama yako (nikisema, "anaongea kama mtu mwenye mamlaka makubwa sana") nikimjibu jamaa mmja.

100%. Polepole alikuwa part of inner cycle, deep state. Inawezekana ndie mtu aliye na connection nyingi na deep state anayejua mambo mengi, kupewa taarifa nyingi, kuaminika na vitengo vingi, kuaminika na wazalendo wengi kuliko mwingine yoyote kwa sasa.

Watu wamsikilize hata dakika ishirini za mwanzo hapa chini. Sababu anaongea taratibu, bila mbwembwe, mihemuko watu wanamchukulia poa.

View: https://www.youtube.com/live/eH5DSQdGYAE?si=tg4MTd1LOG9n-Lvl
 
100%. Polepole alikuwa part of inner cycle, deep state. Inawezekana ndie mtu aliye na connection nyingi na deep state anayejua mambo mengi, kupewa taarifa nyingi, kuaminika na vitengo vingi, kuaminika na wazalendo wengi kuliko mwingine yoyote kwa sasa.

Watu wamsikilize hata dakika ishirini za mwanzo hapa chini. Sababu anaongea taratibu, bila mbwembwe, mihemuko watu wanamchukulia poa.
Eti wanamchukulia poa, wengine wanasema, amechuja, watu hata hawaelewi risk aliyoichukua.

Mtu ameona wenzake wakipukutika, mmoja baada ya mwingine, kabla ya bosi wake kwenda, halafu eti yeye anaamua kuacha ubalozi, aisee! Siyo hivyo tuu, badala ya kukaa kimya, naongea mitandaoni. Ogopa.
 
Kuongea live kwenye vyombo hivi vyote vya habari ni rahisi kuwa tracked ukiwa hauko vizuri. Hapo wanaokusikiliza kwa umakini, wengi wao ni hao wanaokuwinda, usalama, majeshi yote, watu wanaotafuta roho yako usiku na mchana. Nafikiri ndiye mtu anayetafutwa kuliko yoyote kwa sasa na wahuni.

Anasema ataendelea kuongea, sasa hivi mara mbili kwa wiki wahuni wakishupaza shingo. Walimteka dada yake, akawapa onyo arudishwe mara moja. Wakamrudisha mapema. Huyu amejitoa mhanga.
 
Sio tu hamtaki mgombea, hautaki hata uchaguzi wote, kuanzia uchaguzi wa ndani wa CCM, hadi wa kitaifa. Sababu zake wapinzani wa kweli wamefungiwa, mpinzani wa CCM alitakiwa ajiuzulu sababu miaka 10 yake imepita.

Anaonyesha jinsi ambavyo hawajitambui kwa ahadi zao kama trekta milioni 10, badala ya at least kuzungumzia masuala ya msingi kama Afya, rushwa, ufisadi, demokrasia, katiba mpya, haki za binadamu, bima, utekaji, uonevu, utesaji, mfumuko wa bei, dili za hovyo,uuzaji holela wa rasilimali za nchi.

Kila mara anasema Samia ajiuzulu tuje kwenye meza ya maelewano, tuje na muafaka mpya wa kitaifa, sheria zibadilishwe, tuingie kwenye uchaguzi tukiwa wamoja. Huwa anasema kwamba hakuna uchaguzi octoba 29 hicho ni kiini macho. Mfumo wa Inec, CCM na nida umetayarishwa ili waibe kura.

Wengi inonekana hamsikilizi kwa umakini, kuanzia mwanzo hadi mwisho wa speech zake.
Sasa kwanini ana toa ushauri kwa wagombea feki na wasiofuata sheria na wasio stahili ili waongee ukweli na haki kwenye jampeni feki?

Kwa maneno yake wakiongea haki, ukweli na utekaji wana kuwa wagombea halali, au uchaguzi unakuwa halali?

Hamusikilizi anaongea nini mnaenda na maoni yenu kumsikiliza.
 
Kimsingi anamwambia Samia aongelee haki, haki ni nini? Huwa anafafanua kabisa msikilize kwa umakini. Kiufupi cha kwanza anamwambia Samia ajiuzulu ndiyo Salama yake. Asipojiuzulu atatolewa madarakani kwa nguvu.

Haki ni tupate kwanza muafaka wa kitaifa, maridhiano, kuelewana, kutengeneza kanuni, sheria, taratibu kabla ya kwenda kufanya uchaguzi mpya. Tume mpya ya uchaguzi, katiba mpya at least marekebisho ya katiba kutoa usawa. Anaposema haki ina maana ni mifumo mipya ya haki, taratibu mpya, sheria mpya. Pia
Mifumo mipya ya haki kuanzia mahakama, polisi, usalama hadi jeshi.

Kwa upande wao CCM. haki ni mchakato mpya wa kutafuta wagombea wote upya kwa kufuata sheria, taratibu, kanuni, desturi za chama chao kuanzia Urais, Madiwani, Wabunge.

Anazungumzia haki kwa wananchi na vyama vyote, hapo amesema Tundu aachiwe, Chadema iachwe kufanya siasa kwa uhuru. Kwa sasa uchaguzi ni kiini macho kati ya CCM A n CCM B,C,D E nk.

Haki inamaanisha kukomesha utekaji, utesaji, mauaji, kuwatupa watu magereza, kufungia vyombo vya habari. Walimteka dada yake, wakampiga mkwara mama yake, walijipanga kumteka yeye, kikosi kizima kikiwa kimevaa kininja walienda nyumbani kwake baada ya yeye Polepole kujiuzulu ubalozi. Ulifikiri walienda kufanya nini? Kumsalimia.

Ulimsikiliza kwa umakini kweli, au wewe ndio una maoni yako binafsi bila kumsikiliza yupo hapo chini. Sikiliza yote, niambie umeelewa nini?

View: https://www.youtube.com/live/eH5DSQdGYAE?si=XtQuJrJ8q-lr6V-Q
 
Mitochondrial dysfunction is a key factor in diabetes, as it impairs both insulin production and effectiveness, resulting in elevated blood sugar levels. It is intricately involved in various metabolic processes essential for glucose regulation and can lead to insulin resistance and impaired beta-cell function.

Ivermectin help to mitigate mitochondrial dysfunction by inducing autophagy, reducing oxidative stress, regulating inflammation, promoting mitochondrial biogenesis, and enhancing mitochondrial efficiency. These actions collectively contribute to improved mitochondrial function and overall cellular health by improving insulin sensitivity, reducing blood sugar levels, and enhancing overall metabolic health.
Like I told you in the previous post you don’t seem to understand the pathophysiology of diabetes.

What causes diabetes is obese, why because cells which store glucose (glycogen), also store fatty acids.

Glucose and fatty acids, have the some role, providing the body with energy. However glucose is used first and fatty acids are reserves.

Therefore if you are not to active enough fatty acids are never used, over time they build up in the cells and damage the receptors which receive glucose from the blood vessels. This how glucose level increase in blood vessels

This is why obesity is the main cause of type two diabetes.

Like I told you I don’t have the time to go into the whole pathophysiology because it’s a long story and you don’t understand the condition only wasting people’s time.

You are googling type 1 diabetes and I am talking about type 2, you don’t even know their differences.

Muhimu zaidi ni kuongepea watu kuna dawa ambayo hakuna.
 
The underlying issue behind everything you've mentioned is the disruption of cellular functioning, specifically mitochondrial dysfunction.

For instance, in cases of obesity, mitochondria become fragmented, which impairs their ability to burn fat effectively. By addressing mitochondrial health, many related issues can be resolved.

In addition to that, most chronic diseases like cancer, arthritis , neuropathy and even autoimmune diseases are caused by mitochondrial dysfuction.

Here is the study to back it up... how obesity affects mitochondrial dysfuction which leades to type 2 diabetes

Kimsingi anamwambia Samia aongelee haki, haki ni nini? Huwa anafafanua kabisa msikilize kwa umakini. Kiufupi cha kwanza anamwambia Samia ajiuzulu ndiyo Salama yake. Asipojiuzulu atatolewa madarakani kwa nguvu.

Haki ni tupate kwanza muafaka wa kitaifa, maridhiano, kuelewana, kutengeneza kanuni, sheria, taratibu kabla ya kwenda kufanya uchaguzi mpya. Tume mpya ya uchaguzi, katiba mpya at least marekebisho ya katiba kutoa usawa. Anaposema haki ina maana ni mifumo mipya ya haki, taratibu mpya, sheria mpya. Pia
Mifumo mipya ya haki kuanzia mahakama, polisi, usalama hadi jeshi.

Kwa upande wao CCM. haki ni mchakato mpya wa kutafuta wagombea wote upya kwa kufuata sheria, taratibu, kanuni, desturi za chama chao kuanzia Urais, Madiwani, Wabunge.

Anazungumzia haki kwa wananchi na vyama vyote, hapo amesema Tundu aachiwe, Chadema iachwe kufanya siasa kwa uhuru. Kwa sasa uchaguzi ni kiini macho kati ya CCM A n CCM B,C,D E nk.

Haki inamaanisha kukomesha utekaji, utesaji, mauaji, kuwatupa watu magereza, kufungia vyombo vya habari. Walimteka dada yake, wakampiga mkwara mama yake, walijipanga kumteka yeye, kikosi kizima kikiwa kimevaa kininja walienda nyumbani kwake baada ya yeye Polepole kujiuzulu ubalozi. Ulifikiri walienda kufanya nini? Kumsalimia.

Ulimsikiliza kwa umakini kweli, au wewe ndio una maoni yako binafsi bila kumsikiliza yupo hapo chini. Sikiliza yote, niambie umeelewa nini?

View: https://www.youtube.com/live/eH5DSQdGYAE?si=XtQuJrJ8q-lr6V-Q

First things first.

Tayari humtambu, hana qualification za kuitwa au kua mgombea halafu muda huo huo huyo asiye qualify kuwa mgombea unataka aongelee haki kwenye kampeni.

Sijui hata kama tunaelewana?

Nahisi huelewi naongea nini?
 
The underlying issue behind everything you've mentioned is the disruption of cellular functioning, specifically mitochondrial dysfunction.

For instance, in cases of obesity, mitochondria become fragmented, which impairs their ability to burn fat effectively. By addressing mitochondrial health, many related issues can be resolved.

In addition to that, most chronic diseases like cancer, arthritis , neuropathy and even autoimmune diseases are caused by mitochondrial dysfuction.

Here is the study to back it up... how obesity affects mitochondrial dysfuction which leades to type 2 diabetes

The article states mitochondrial is damaged after diabetic is presence not before. The author goes further acknowledging there is no scientific consensus why it is impaired.

If you were a careful readers that far, they are telling you its impairment is not the cause of type 2 diabetes, rather the aftermath.

The main receptors of glucose are GLUTs these are opening in the cell which are damaged with excessive fatty acid in the cell (this is why you need to active and avoid being obese).

You can’t google staff and argue if you haven’t even read an entire article on the pathophysiology of the condition or previous done even a simple research on the condition. You clearly haven’t done neither.

My original claim were that, there is no medicine which can treat diabetes (it is an incurable condition to date), therefore Polepole ought to be careful on his claims. The rest of our exchanges were just irrelevant chit-chat as far as I am concerned.

👋
 
Aisee, nenda lab corps uombe wakufanyie kipimo cha D dimer.
Hata katika fani hiyo unayojaribu kujifanya unajuwa kitu juu yake, ni wazi hujui chochote hata huko.
Hiyo unayo iita "D dimer" unajuwa maana yake ni nini? Unataka nianze kukufundisha hapa maswala ambayo huna habari kabisa nayo?
 
The article states mitochondrial is damaged after diabetic is presence not before. The author goes further acknowledging there is no scientific consensus why it is impaired.
The article did not specifically mention this, but there are numerous factors that can contribute to mitochondrial damage. These include, consuming certain foods, such as those containing genetically modified organisms (GMOs), exposure to environmental toxins, like chemicals in the air and water, a sedentary lifestyle and chronic stress.
My original claim were that, there is no medicine which can treat diabetes (it is an incurable condition to date), therefore Polepole ought to be careful on his claims. The rest of our exchanges were just irrelevant chit-chat as far as I am concerned.

👋
Ivermectin which triggers autophagy and opoptosis has demonstrated promising results in addressing a range of conditions, including diabetes, arthritis, cancer, neuropathy, and autoimmune diseases. This is because these conditions often share a common underlying factor: cellular impairment.

Consider conducting a small study to determine whether fasting for 36 hours twice a week over a two-month period can enhance insulin sensitivity. Additionally, you could carry out another study where volunteers take 0.5 mg/kg of ivermectin daily for one month and then assess their glycemic levels at the end of the study to evaluate the results.
 
Hata katika fani hiyo unayojaribu kujifanya unajuwa kitu juu yake, ni wazi hujui chochote hata huko.
Hiyo unayo iita "D dimer" unajuwa maana yake ni nini? Unataka nianze kukufundisha hapa maswala ambayo huna habari kabisa nayo?
Wapi nimejifanya najuwa?
 
The article did not specifically mention this, but there are numerous factors that can contribute to mitochondrial damage. These include, consuming certain foods, such as those containing genetically modified organisms (GMOs), exposure to environmental toxins, like chemicals in the air and water, a sedentary lifestyle and chronic stress.

Ivermectin which triggers autophagy and opoptosis has demonstrated promising results in addressing a range of conditions, including diabetes, arthritis, cancer, neuropathy, and autoimmune diseases. This is because these conditions often share a common underlying factor: cellular impairment.

Consider conducting a small study to determine whether fasting for 36 hours twice a week over a two-month period can enhance insulin sensitivity. Additionally, you could carry out another study where volunteers take 0.5 mg/kg of ivermectin daily for one month and then assess their glycemic levels at the end of the study to evaluate the results.
The following is an extract from the article you, “While mitochondria play an important metabolic role in healthy adipocytes, oxidizing fuel to produce ATP and generating heat during thermogenesis, mitochondrial function is impaired in obese individuals7,8,9,10; however, what drives mitochondrial damage and how it contributes to obesity and its many complications remains unknown”.

The article states there is no medical knowledge how impairment to mitochondria contributes to diabetes condition. Moreover it clear states what impairs it, is obese (fatty acids). Haven’t told you before obese damages cells function before including cells receptors, thus leaving excessive glucose in the blood stream which is the cause of type 2 diabetes.

Now read the following journal how excessive fatty acids reshape and contribute to insulin resistance 👉 https://www.sciencedirect.com/science/article/pii/S0002916523279721#:~:text=The excess fatty acids are,dietary fat composition and exercise.

Quit with the focus on what are not the causes of diabetes, and there is not cure for diabetes.

Tip: Just google any multicultural society (in any developed nations), check the ethnicity prevalence on diabetes conditions. I guarantee you in most countries South Asian communities will be leading the table, due their cooking which uses a lot of oil, followed by black communities due poor diet and lack of health education.

Hence if there is some tea in India which could cure diabetes as Polepole suggests why the prevalence is still high in that same nation.

Medicine is empirical not guess work, there is a lot which follows after insulin resistance and hyperglycaemia leading to diabetes (clear you don’t know that if you think mitochondria is the alpha and omega of the condition).

If you understood the pathophysiology of condition by the time you are identified with the diabetes there is no reverse; sufferer have only to learn to live with the condition, failure to do so is just a suicide mission.

Unfortunately I have to leave this discussion it is not productive anymore on my side, you’re just bringing gibberish to the discussion.

👋
 
This is a misconception perpetuated by big pharmaceutical companies to convince people that there is no cure for diabetes or cancer, especially since they can no longer patent ivermectin.
I got a flat earth believer it seems.
 
Back
Top Bottom