kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Afya ya akili,eti Tanzania Kuna malaria, Zanzibar hakuna malaria,kwa hiyo hiyo malaria Tanzania imeletwa na Rais au
Kwa mtu msomi awezi msikiliza huyo,hoja zake za kitoto,kwa mfano eti Tanzania Kuna malaria,lakini Zanzibar hakuna malariaKama anatapatapa, basi rais anaweweseka!
Hii ni nchi ambayo inaendeshwa na wasio na maana ktk jamii. HUwezi kuwa rais wa nchi ukamtegemea aliyestaafu kukuongoza wewe. Bahati mbnaya aliyestaafu hakuwa na uwezo wa kuiongoza nchi badala ya kufurahisha kila mtu, na mahawala, marafiki.
Huyu ni mtu mzuri tu! Polepole apongezwe. Hata kama alikosea huko nyuma, kwa sasa apewe heko! Ametusaidia kufahamu mambo ambayo wao wanayaita ni siri, wakati wanaiibia nchi. Nchi gani inayolea mtu mmoja na kumtumia kuibia chi nzima? KIla kitu Rostam. Naye anaona ni kazi nzuri anaifanya na kuitwa mfanyabiashara mashuhuri, wakati anatumika na wezi wa nchi.
🤣🤣🤣🤣Sasa hoja ni nini? Assume wangemtoa Nchimbi ndio hoja yake mama ingekuwa imefanyiwa kazi?
Unahisi kweli jambo kama hilo la kubadili mgombea mweza linaweza kwenda kufanyika online tu kirahisi kama hivyo?
Hivyo ndivyo ulivyomuelewa?Duuh!
Kwa hiyo mkuu hata ukipata HIV unailaumu serikali?
Kwamba ile tabia ya wabongo ya kuwa na wapenzi 10 +, kuokota okota hovyo na kutokutumia kinga nalo ni tatizo la serikali? Adanganye wajinga aseee
Ametaja mqgonjwa 10 akijumlisha HIV yanayoua zaidi na akasema ni uzembe wa serikali... na mimi nauliza hata HIV nayo tunalaumu serikali? Magonjwa mengine ni ya kubadilisha life styles tu, mengine ni ya kufanya mazoezi tu hata serikali haihusiki (lazima tuwe na jamii inayowajibika) huo ndio mtazamo wanguHivyo ndivyo ulivyomuelewa
Kwanini alipotoa hoja ya lile lijamaa mlikimbilia kuondoa JF hewani?? Muda wa kuwaondoa wahuni ukishafika tutaongea lugha moja.Polepole naye amebaki kuwa kiroporopo baada ya kugundua watz wanamtumia kupata vihoja vya kujadili mitandaoni ila hana impact zaidi ya hapo. Hopeless.
Mkuu kumwelewa Pole Pole inahutaji utulivu tulia kidogo relax alafu msikilize nje ya box utapata kumwelewa na utakuja kumheshimu baadaePolepole naye amebaki kuwa kiroporopo baada ya kugundua watz wanamtumia kupata vihoja vya kujadili mitandaoni ila hana impact zaidi ya hapo. Hopeless.
Ita Press umpinge kama alivyofanya Kamwaga tuone majibu yake. Maana kasema amejipanga mtu ajitokeze kumjibu amwage upupu zaidiBora ajikite huku kwenye mambo ya udhalimu wa CCM, I am all in support of his endeavour against majizi,
Lakini aache kuongelea mambo ambayo hana technical knowledge nayo, he sounds stupid. Mfano kusema type 2 diabetes ina dawa kwa mtu mwenye uelewa wa pathophysiology ya ugonjwa hawezi ongea ujinga huo (hiyo ni life condition) you got to understand insulin resistance and how you get to that stage. Once you reach that stage there is no coming back, it becomes a management health condition hakuna dawa ya ku-reverse insulin resistance.
Kuongelea NHIF pricing awajipangii bei tu out of the blue. Fisadi Ummy mwalimu aliwahi mleta mtaalamu (mshauri wake) akatoa maelezo ya kina ya hesabu za services costing za kupanga dawa na gharama za huduma za afya kama msingi wa malipo yao (that’s how health insurance make payments decisions)
I support Polepole wholeheartedly but he should stop offering advise on matters he knows nothing about; otherwise he just sound bitter and stupid.
Wamejaa kila nyuzi ya kuhusu polepole inavamiwa sio mchezoAbduli kwenye ubora wako
Km usomi ndio wa aina yako na mama Samia ni heri la saba langu la NyerereKwa mtu msomi awezi msikiliza huyo,hoja zake za kitoto,kwa mfano eti Tanzania Kuna malaria,lakini Zanzibar hakuna malaria
Je malaria imeanza lini Tanzania
Je kipindi Cha uhuru na awamu nyingine malaria aikuwepo
Sasa km serikali haihusiki inakuwaje inagharamia hizo dawa?Ametaja mqgonjwa 10 akijumlisha HIV yanayoua zaidi na akasema ni uzembe wa serikali... na mimi nauliza hata HIV nayo tunalaumu serikali? Magonjwa mengine ni ya kubadilisha life styles tu, mengine ni ya kufanya mazoezi tu hata serikali haihusiki (lazima tuwe na jamii inayowajibika) huo ndio mtazamo wangu
At least ninazo akili timamu kuliko chizi kama ulivyo wewe.Wewe unamsaada gani kwa watanzania?
Pumbavu wahead!
owa mkuu bado hajaleta stori nyingine?Nae anatapatapa tu...
🙏🙏At least ninazo akili timamu kuliko chizi kama ulivyo wewe.
Ulitaka afanye nini polepole wakati Wewe hupo JF na ID fake polepole yuko nje ya mfumo hana jeshi wa Tiss wala police unataka afanye nini?Polepole naye amebaki kuwa kiroporopo baada ya kugundua watz wanamtumia kupata vihoja vya kujadili mitandaoni ila hana impact zaidi ya hapo. Hopeless.
Huyo mtu tayari anajutia kujiuzuru kwake. Sasa anatafuta tu njia ya kusamehewa baada ya haramu hii inayo endelea sasa hivi.Dah hata mimi Kusema kweli kuna mda pole pole naona kama anatuchanganya hivi.... Mfsno mzur ni pale alipoanza kumwelekeza Samia et kwenye kampeni aongelee vitu hivi na vile wakati tulishamalizana kwenye issue ya Sa100 kuwa si mgombea halal..... All of a sudden imekuwaje tena pole pole Amtambue na kumwelekeza kabisa cha kuongea kwa Compain zake?
Dah, anyway hebu tusimalize Maneno, Time will tell.... Acha tumpe Muda.