Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani wajinga wote wameacha kutumia mitandao ?Write your reply...yaani bado mnamuamini ganda la mua kavu?
Umekaa nalo nyumbani ?kuna bango hapa chagua Samia chagua kitila mkumbo
walisha print hadi majina
Wanaozimiwa mitandao ni watu wa tabaka la chini. Kuna watu wanatumia hiyo twitter bila hata hata VPN hapa hapa bongo.Kama impact hakuna mbona wanazima MITANDAO?Halafu walivyo WAPUMBAVU waliozima Ndio wanapost agenda zao !!wamezima JAMIIFORUMS, CLUBHOUSE, TWITTER
Polepole alikosa contentKulikua kimya sana
Polepole alikosa content
Acha na huyo mkwepa kazi. Kakimbia kazi aliyopewa Cuba ameamua kuja kuwa mpayukaji mitandaoni. Taifa haliwezi kuendelea kwa kuwa na wapayukaji wengi.Ngoja nielekee kwanza huko youtube,
Kama anatapatapa, basi rais anaweweseka!Nae anatapatapa tu...
MimiWamweke nani