Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
πππππ Sawa tuchulie korona lakini mbona viwanda vya samaki toka tanga Hadi Mtwara havijajengwa tatizo Ni Nini au alikuwa anatudanganya ili timpe kura bureVip laptop kwa kila mwalimu na milioni hamsini Kila Kijiji, Bado katiba mpy zote zilikuwa ahadi zake na Nilimpigia kura kea kujua kuwa Tanzania ya viwanda itakuwa lakini ninayo yashuhudia Ni Kama hayaView attachment 1580697
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Tuwahamasishe wazidi kujivua boxer,mbona hatujasikia kuhusu Hector 20,000 kule Kihanga?Nani aliyemuuzia Mheshimiwa ardhi yote hiyo na ilikuwa bei gani pamoja na vyanzo vya hizo fedha.Maadili wanaifahamu hiyo Ranch?Hawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!
Kwani wakati Ana ahidi alikuwa hajui mahitaji na changamoto za wananchi au alikuwa anjifurahishaHizo laptop ni mchakato wa muda mrefu.
Kuna zahanati kila wilaya ambazo zina lengo la kuimarisha afya za watu, Hizo zina thamani kuliko milioni 50 zinazotumika leo na kesho zikawa zimeisha.
Kuna kazi kubwa inafanyika nchi nzima na wenye akili tunasema: kazi iendelee.
Alichokifanya kwa njia nyingine ni kikubwa na chenye faida za muda mrefu kuliko ahadi iliyotolewa.Kwani wakati Ana ahidi alikuwa hajui mahitaji na changamoto za wananchi au alikuwa anjifurahisha
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Actually gemu imekuwa ngumu tofauti na ilivyodhaniwa....Hakuna wa kumstopisha Lissu.
Mpe tigo akupige spana au vp?Polepole wapige spana hao magwanda
Huyu ni chadema ,ni mwenzetu. Anachumia tumbo tu huko ccm.Kuna mtu bado anamwamini polepole?
View attachment 1580382
Mkuu kuweka rekodi sawa hakuna uwanja wa ndege unaojengwa Singida.....hakunaAmetueleza kuwa uwanja wa mpanda ulijengwa kwa ajili ya watalii wanaokwenda Katavi National park, Je kwa nini hakutuambia ule wa singida na chato ulijengwa kwa sababu gani?
Wanashindwa kuibu hoja, wanasingiziwa kuwa Lissu ana tatizo kwenye memory, je kati yao na Lissu ni akina nani wana matatizo ya memory?
Hao wameshikwa pabaya. Viongozi wote wa ccm wanaopiga kampeni wanamshambulia mtu mmoja - LISSU lakini bado wanaweweseka.
Naomba majibu ya zile ekari 25,000 tafadhaliHaiwezi na akijubu atakuwa kabumba bumba tu
Hahahaaaa kuna ubeti unamaliIzia abiria wanaotumia uwanja wa mpanda ni wataliiii hahaaaahaa,nimeusoma kwa sauti paka wangu akagunaWenzetu wa upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, amatatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii.
Kama mlivyokuwa mstari wa mbele kuua na kuteka watu.Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Unaongea uongoSafi sana maana uongo ukirudiwa mara kwa mara na bila kujibiwa na kutolewa ufafanuzi wasiojua wanaweza kupotoshwa na kudhani ni ukweli.
Hebu wewe ongea ukweli.Unaongea uongo
Na ninyi mnasaidia kumpa kichwa Lissu eti anakubalika mwisho wa siku atashindwa na atarudi Ubelgiji kwa aibu kama Mange alivyoamua kukaa kimya kwa aibu!Hawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!
Sasa 'kanisa' limetoka wapi hapo Shekh Kipozeo?Hivi wanvyojifanya kujibu ndiyo wanavyopotea kanisa maana wanatupa nafasi ya kuwajua zaidi walivyotuahidi warafi
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
The same is also true for Lissu, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kumsikiliza zaidi labda abaki anashangaa namna alivyo baada ya zile risasi za ndege 16!Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda wake wa two hours kumsikiliza mtu kama Polepole