Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Wewe unawajua wapiga kura kwa sura?Acha ujinga CCM haijawahi kuwa na mpiga kampeni was mfano wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unawajua wapiga kura kwa sura?Acha ujinga CCM haijawahi kuwa na mpiga kampeni was mfano wako.
Siku zote naamini kwamba wanasiasa sio waongo Ila hawasemi ukweli. Mkiwa chumbani halafu mwanasiasa akawaambia kwamba nje kuna giza, msimuamini kabisa. Tokeni nje ya chumba halafu angalieni juu ili kujihakikishia pasi na shaka kwamba kweli jua halipo angani na giza limetanda hapo nje.Hakika wapinzani ni waongo sana tena saaaana,yaani waliahidi vitu 2015 mpk leo hawajavitekeleza'.
View attachment 1580328
Hakuna wa kumstopisha Lissu.Kwa jinsi hali ilivyo ni kama wapinzani walikuwa hawajafungiwa miaka 5 kufanya siasa..... Watu wako very inspired.
Nadhani hata CCM hawaamini kinachoendelea...
Na Bado Lisu anajua watajifanya kujibu anawaacha waje taratibu atatoa kitu dakika za majeruhi ambayo kila my atajua hawafaiMasikini chakubanga ametoa boko tena.
CCM nzima wanaucheza mziki wa Lissu.
huyu kajitoa akili nilidhani ataongelea ile katiba mpyaKomredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama wengi mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Tena mwaka huu ni kipigo kitakatifu, ACT anaenda kuunda upinzani Bungeni kwani atapata wabunge karibu 10 na kura kidogo Zanzibar, CDM inaweza kuwa na wabunge 2 -4 tu. Ni ushindi mrefu kwa JPM. Viva Tanzania, tusonge mbele.🤣🤣🤣🤣🤣 Mwaka huu lazima wajue siyo ule wa kauli mbiu elimu, elimu ,elimu huu Ni Mwaka wa Uhuru, HAKI na maendeleo ya watu
Nami ningeshauri Mh Lissu asihangaike na Vidagaa hawa. Sasa hivi ni kanyaga twende nyoka wote watoke pangoni. Na Samaki mkubwa yule atakapozinduka akute maji yalisha hama abaki kujigaragaza mchangani aonje joto la jua ndipo akili zikae sawa.TL hajibu pumba za small fish, ana Hit penyewe mpaka atoke Chamwino
Ni vizuri Sana kuto kuonesha adui yako wewe dhaifu kiasi ganiTena mwaka huu ni kipigo kitakatifu, ACT anaenda kuunda upinzani Bungeni kwani atapata wabunge karibu 10 na kura kidogo Zanzibar, CDM inaweza kuwa na wabunge 2 -4 tu. Ni ushindi mrefu kwa JPM. Viva Tanzania, tusonge mbele.
Haya napenda Sana yamfikie lisu atuachie sisi tutawajibu hawa washenziNami ningeshauri Mh Lissu asihangaike na Vidagaa hawa. Sasa hivi ni kanyaga twende nyoka wote watoke pangoni. Na Samaki mkubwa yule atakapozinduka akute maji yalisha hama abaki kujigaragaza mchangani aonje joto la jua ndipo akili zikae sawa.
Mtazamo wako potofu. Lissu mwepesi sana sio wa kumsumbua Magufuli.Sawa inawezekana kila Mwaka lakini so Mwaka huu kwa imani na mtazamo wangu na wewe baki na imani yako na mtazamo wako
Hata Uwanja wa Ndege wa Chato umejengwa kimkakati kwa ajili ya Watalii watakaokuwa wanatembelea Mbuga ya Wanyama ya Buligi. Zamani tuliaminishwa kwamba Mbuga za Wanyama zinakuwa huko Kaskazini na Mashariki,kumbe hata Kanda ya Ziwa inawezekana kabisa na hilo la mbuga kuongezeka Kanda ya Ziwa linawaumiza sana Chadema maana walizoea ni Kaskazini tu. Leo hii ukifika kwenye Mbuga za Hifadhi karibu zote wakuu wake ni Wachaga. Ukifika kwenye Mageti ya Maliasili wasimamizi ni Wachaga, kwa hiyo Magufuli anachokifanya ni kuuondoa huo Uchaga/Ukaskazini kwenye Mbuga za Hifadhi na kuleta uwiano mzuri.Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama wengi mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Polepole alisema iwapo uchaguzi utakua huru na haki basi CCM kijiandae kukabizi dola sasa Leo anakuja na ngonjera gani tena
Siku zote naamini kwamba wanasiasa sio waongo Ila hawasemi ukweli. Mkiwa chumbani halafu mwanasiasa akawaambia kwamba nje kuna giza, msimuamini kabisa. Tokeni nje ya chumba halafu angalieni juu ili kujihakikishia pasi na shaka kwamba kweli jua halipo angani na giza limetanda hapo nje.Hakika wapinzani ni waongo sana tena saaaana,yaani waliahidi vitu 2015 mpk leo hawajavitekeleza'.
View attachment 1580328
Na sisiwewe na nani
Hahahahahahhaha hivi Kwa nini mnaichukia chadema? Ndio maana mlitaka Hadi mbatia awe chama kikuu cha upinzani mkashangaa chadema inawapepeta sijui kaishia wapi mbatiaNi vizuri Sana kuto kuonesha adui yako wewe dhaifu kiasi gani
Wale watu wanapenda uongo wa kupitiliza au wakujiondoa ufahamu.Lakini yote tisa baada ya uchaguzi ndio wao wa kwanza kuunga juhudi za Magufuli.Kuna watu humu JF, wao Ni kupelekwapelekwa na huyo mgombea wa Mbowe, sisi ndo tunajua nini kinaendelea.
Tarehe 15/10, atakuwa na press nyingine itakayo mmaliza kabisa Lissu,kibaya zaidi kila wanalopanga na kujadili sirini,sisi tunalo😂, Ni mwendo wa kuwadukua tu😂😂.Kwa mikakati hiyo potofu wanayo panga, tarehe 28, watapigwa kipigo Cha mbwa mwizi