Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Vip laptop kwa kila mwalimu na milioni hamsini Kila Kijiji, Bado katiba mpy zote zilikuwa ahadi zake na Nilimpigia kura kea kujua kuwa Tanzania ya viwanda itakuwa lakini ninayo yashuhudia Ni Kama hayaView attachment 1580697

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂 Sawa tuchulie korona lakini mbona viwanda vya samaki toka tanga Hadi Mtwara havijajengwa tatizo Ni Nini au alikuwa anatudanganya ili timpe kura bure
 
Hawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!
Tuwahamasishe wazidi kujivua boxer,mbona hatujasikia kuhusu Hector 20,000 kule Kihanga?Nani aliyemuuzia Mheshimiwa ardhi yote hiyo na ilikuwa bei gani pamoja na vyanzo vya hizo fedha.Maadili wanaifahamu hiyo Ranch?
 
Hizo laptop ni mchakato wa muda mrefu.

Kuna zahanati kila wilaya ambazo zina lengo la kuimarisha afya za watu, Hizo zina thamani kuliko milioni 50 zinazotumika leo na kesho zikawa zimeisha.

Kuna kazi kubwa inafanyika nchi nzima na wenye akili tunasema: kazi iendelee.
Kwani wakati Ana ahidi alikuwa hajui mahitaji na changamoto za wananchi au alikuwa anjifurahisha
 
Alichokifanya kwa njia nyingine ni kikubwa na chenye faida za muda mrefu kuliko ahadi iliyotolewa.

JPM anajenga misingi ya kiuchumi ambayo uwepo wake utazalisha nyingi ya ahadi anazozitoa au alizozitoa.
 
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.

Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.

Karibu.

=======

POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.

Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?

Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.

Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.

Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.

Ametueleza kuwa uwanja wa mpanda ulijengwa kwa ajili ya watalii wanaokwenda Katavi National park, Je kwa nini hakutuambia ule wa singida na chato ulijengwa kwa sababu gani?

Wanashindwa kuibu hoja, wanasingiziwa kuwa Lissu ana tatizo kwenye memory, je kati yao na Lissu ni akina nani wana matatizo ya memory?

Hao wameshikwa pabaya. Viongozi wote wa ccm wanaopiga kampeni wanamshambulia mtu mmoja - LISSU lakini bado wanaweweseka.
 
Sisi tunajua kuwa lisu ameishashinda na Kama hawaamini mbona wanapanga njama Ya wizi?
 
Ametueleza kuwa uwanja wa mpanda ulijengwa kwa ajili ya watalii wanaokwenda Katavi National park, Je kwa nini hakutuambia ule wa singida na chato ulijengwa kwa sababu gani?

Wanashindwa kuibu hoja, wanasingiziwa kuwa Lissu ana tatizo kwenye memory, je kati yao na Lissu ni akina nani wana matatizo ya memory?

Hao wameshikwa pabaya. Viongozi wote wa ccm wanaopiga kampeni wanamshambulia mtu mmoja - LISSU lakini bado wanaweweseka.
Mkuu kuweka rekodi sawa hakuna uwanja wa ndege unaojengwa Singida.....hakuna
 
Tungepeda kuona chama cha mapinduzi kikieleza sera zake zaidi kuliko kujibu spana za LISSU,
 
Wenzetu wa upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.

Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?

Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, amatatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.

Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii.
Hahahaaaa kuna ubeti unamaliIzia abiria wanaotumia uwanja wa mpanda ni wataliiii hahaaaahaa,nimeusoma kwa sauti paka wangu akaguna
 
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.

Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.

Karibu.

=======

POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.

Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?

Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.

Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.

Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Kama mlivyokuwa mstari wa mbele kuua na kuteka watu.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kupoteza muda wake wa two hours kumsikiliza mtu kama Polepole
The same is also true for Lissu, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kumsikiliza zaidi labda abaki anashangaa namna alivyo baada ya zile risasi za ndege 16!
 
Back
Top Bottom