Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

..hoja za namna hii hazina mashiko tena.

..ccm mmedanganya wananchi kwa miaka na miaka.

..wananchi wanampenda na wanamuunga mkono TL.
Hawa hapa chini. Tena wametulia kabisa wakisikiliza sera ili tarehe 28/10/2020 wamchinje msaliti Lissu.
 
Pia kadanganya kwamba Watanzania wanajiteka na kujiua wenyewe
Pia kadanganya watu kwamba chato Kuna International Airport
Kadanganya pia Mayanga ni kampuni ya nyumba kubwa
Akadanganya pia vitambulisho vya machinga c lazima
Anaendelea kudanganya HALSB ,inakata 15,% toka 03%

HUYU NI MUONGO WA KUPUUZWA
 
The only help you need is to Face the fact, TUNDU Lissu Won't win this ELECTION.

The Other help you need is To prepare Your Self On how to handle the speed of MAGUFULI in 2020-2025

Mwambieni Lissu aseme kitu kuhusu Ushoga
Ushoga privet issue Kama tayari ushakua usimsingizie Lissu
 
Tatizo sio Lissu, yeye anawaambia watu wanayopenda kuyasikia wao hawajali hata kama ni uongo.
 
Hiyo ni typing error alikuwa anamaanisha neno Kabisa, uwe unajiongeza na wewe usikariri inamaana hukuenda shule?
Naye awe anatulia kabla ya kuandika! Kwani anakimbizwa na nani? Acha kutetea uzembe; Kalaghabao
 
The same is also true for Lissu, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kumsikiliza zaidi labda abaki anashangaa namna alivyo baada ya zile risasi za ndege 16!

Mkuu, TL ni mtu aliyezaliwa na akili kabla ya kuingia darasani, hakuna mtu anayesumbua serikali ya JPM kama TL na asikiambie mtu kujua sheria ndio kitu kikubwa kinampa jeuri TL kwa sababu nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria.
 
Hawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!
Hivi Chato kuna uwanja wa kimataifa haina. Value for money ya uwanja huo ambayo CAG alisema ulitumia bilioni 40+ na wengine wanasema bilion 60+ ni nini. Uchumu uchumi itakuja ataikumkuta ana miaka 80 atasimama kisutu na uzee huo baada ya kuondolewa presidential immunity, kama ilivyomtokea CHILUBA wa ZAMBIA. Question of time
 
Mkuu,TL ni mtu aliyezaliwa na akili kabla ya kuingia darasani,hakuna mtu anayesumbua serikali ya JPM kama TL,na asikiambie mtu kujua sheria ndio kitu kikubwa kinampa jeuri TL kwa sababu nchi inaendeashwa kwa katiba na sheria.
Walikuwepo kina Mtikila Bwana Ila walituliaa Wapinzani wa Tanzania wote huwa NGUVU YA SODA
 
Polepole ni mpuuzi tu yeye naye hakumbuki hii?
Your browser is not able to display this video.
 
Bwashee akizungumzia ufisadi wa ekari elfu 25 zakule karagwe, pamoja na kupewa tenda kwa mayanga construction company, napia kama kuna uongo wowote juu ya fao lakujitoa utuwekee taarifa.

Ebu nieleze bwashee kakupatia jibu au katimua mbio kama Duma
 
CCM wamekamatika hadi wameomba poo, sijawahi ona mgombea eti anakwenda mapumziko ya kampeni this time ndio nimeona mbaya wanamzuia na Lissu eti apumzike.
 
Hahaha hata Polepole anaijua "memory "?!
Au Lumumba ndio wameanza kuhudhuria masomo ya jioni ya kiingereza?!
 
Alichokifanya kwa njia nyingine ni kikubwa na chenye faida za muda mrefu kuliko ahadi iliyotolewa.

JPM anajenga misingi ya kiuchumi ambayo uwepo wake utazalisha nyingi ya ahadi anazozitoa au alizozitoa.
Kujenga misingi ya kiuchumi kwa kudhulumu stahiki za watu(Hakuna ajira mpya,Hakuna nyongeza ya mshahara,kuondoa fao la kujitoa,mpaka rambirambi alikula huko bk)Acha kujipendekeza Basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…