Hawa hapa chini. Tena wametulia kabisa wakisikiliza sera ili tarehe 28/10/2020 wamchinje msaliti Lissu...hoja za namna hii hazina mashiko tena.
..ccm mmedanganya wananchi kwa miaka na miaka.
..wananchi wanampenda na wanamuunga mkono TL.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa hapa chini. Tena wametulia kabisa wakisikiliza sera ili tarehe 28/10/2020 wamchinje msaliti Lissu...hoja za namna hii hazina mashiko tena.
..ccm mmedanganya wananchi kwa miaka na miaka.
..wananchi wanampenda na wanamuunga mkono TL.
Pia kadanganya kwamba Watanzania wanajiteka na kujiua wenyeweKWANZA......Alituambia Mwingereza Alijenga Reli ya Kaliuwa Mpanda na CCM walishaiiuwa haifanyi kazi tena, Lakini Ukweli ni Kwamba Reli ile inafanya Kazi na Train inakwenda Mpanda kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]....
Pili.....TUNDU LISU Alisema uwanja Wa Ndege Wa Mpanda ulijengwa kwa Sababu ya Pinda kuwa waziri Mkuu. Autumie akiwa anaenda Xmass naa baada ya Kuastafu uwaziri mkuu uwanja Ule haufanyi kazi hata Ndege alizonunua MAGUFULI haziendi hukoo, uwanja umeota Nyasi.....TUNDU Lissu Alisema UWONGO.! Ukweli uwanja huu unatumika na Bombadia zinakwenda
Tatu.....Kuhusiana Bwawa LA umeme LA Bonde LA Rufiji Akadhihaki Akasema ETI WAMELIPA JINA LA NYERERE ILI TUSIHOJI...Akendelea Kusema Hakuna MTU anaejua Gharama za ujenzi Wa Bwawa LA Nyerere Zaidi ya MAGUFULI na Dotto..HUU NI UWONGO WA KUTUPA.Rais MAGUFULI akiwa Mbele ya TV ya Taifa alilitangazia Taifa kuwa Bwawa lile litagharamu trillion 6..... TUNDU ACHA UWONGO
Nne.....Juzi bila hata Kufanya utafiti Akalopoka baada ya kuona habari za kizushi MITANDAONI. Akawaambia Wafuasi Wake kuwa Rais Anakutana na Wasimamizi Wa Uchaguzi ili Wamhujumu na kumuibia Kura .... KITU AMBACHO NI UWONGO RAIS HAJAKUTANA NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.
Kuna Uzi ulipita Jana Kuna Mwamba aliainisha watu watakaompigia Kura MAGUFULI number moja Alisema watakaompigia kura MAGUFULI NI WATU WENYE AKILI TIMAMU Nimeamini TUNDU Lissu wengi wanampigia chapuo ya Kuwa Rais ni Wahuni na watu Wa kupelekeshwa na mehemko.
Haiwezekani ukawa na AKILI TIMAMU Halafu kuna lijitu linasemasema uwongo tuuu na wewe bila hata kutumia AKILI unakuja kutetea Upuuzi Wa jitu hilo.
TWENDE NA MAGUFULI ANATOSHA
Hatimae sasa mabeberu wanavaa mitumba yetu sasa.Ona wapigakura wa maana hapa nchini
View attachment 1583720
Ushoga privet issue Kama tayari ushakua usimsingizie LissuThe only help you need is to Face the fact, TUNDU Lissu Won't win this ELECTION.
The Other help you need is To prepare Your Self On how to handle the speed of MAGUFULI in 2020-2025
Mwambieni Lissu aseme kitu kuhusu Ushoga
Maoni yangu ni kuwa tupambane ili tuweze kuzalisha sana mbeleni tuwauzie mitumba wazungu.Hatimae sasa mabeberu wanavaa mitumba yetu sasa.View attachment 1583730
Hakika mkuu.Maoni yangu ni kuwa tupambane ili tuweze kuzalisha sana mbeleni tuwauzie mitumba wazungu.
Hahahahaaa Mkuu!! Kweliii?mimi ni mmojawapo siamini ninachokiona
Naye awe anatulia kabla ya kuandika! Kwani anakimbizwa na nani? Acha kutetea uzembe; KalaghabaoHiyo ni typing error alikuwa anamaanisha neno Kabisa, uwe unajiongeza na wewe usikariri inamaana hukuenda shule?
The same is also true for Lissu, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kukaa na kumsikiliza zaidi labda abaki anashangaa namna alivyo baada ya zile risasi za ndege 16!
Hivi Chato kuna uwanja wa kimataifa haina. Value for money ya uwanja huo ambayo CAG alisema ulitumia bilioni 40+ na wengine wanasema bilion 60+ ni nini. Uchumu uchumi itakuja ataikumkuta ana miaka 80 atasimama kisutu na uzee huo baada ya kuondolewa presidential immunity, kama ilivyomtokea CHILUBA wa ZAMBIA. Question of timeHawa ndio wanatusaidia kuimaliza CCM!
Walikuwepo kina Mtikila Bwana Ila walituliaa Wapinzani wa Tanzania wote huwa NGUVU YA SODAMkuu,TL ni mtu aliyezaliwa na akili kabla ya kuingia darasani,hakuna mtu anayesumbua serikali ya JPM kama TL,na asikiambie mtu kujua sheria ndio kitu kikubwa kinampa jeuri TL kwa sababu nchi inaendeashwa kwa katiba na sheria.
Polepole ni mpuuzi tu yeye naye hakumbuki hii?Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Bwashee akizungumzia ufisadi wa ekari elfu 25 zakule karagwe, pamoja na kupewa tenda kwa mayanga construction company, napia kama kuna uongo wowote juu ya fao lakujitoa utuwekee taarifa.
Alitimua mbio, ye mwenyewe anaujua ukweli sema njaa tu.Ebu nieleze bwashee kakupatia jibu au katimua mbio kama Duma
Kujenga misingi ya kiuchumi kwa kudhulumu stahiki za watu(Hakuna ajira mpya,Hakuna nyongeza ya mshahara,kuondoa fao la kujitoa,mpaka rambirambi alikula huko bk)Acha kujipendekeza Basi!Alichokifanya kwa njia nyingine ni kikubwa na chenye faida za muda mrefu kuliko ahadi iliyotolewa.
JPM anajenga misingi ya kiuchumi ambayo uwepo wake utazalisha nyingi ya ahadi anazozitoa au alizozitoa.