Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Bwashee zko wap 50.m kila kijiji na laptop zetu sisi walimu????
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.

Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.

Karibu.

=======

POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.

Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?

Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.

Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.

Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
 
Hapa slow kachemka Moto Ni mkali wa gesi Kama ngome yao tu ya Kanda ya ziwa ndipo wamepelekewa Moto hatari vipi Kanda zisizo zao walizozibagua
 
Attachments

  • Screenshot_20200926_114839.jpg
    Screenshot_20200926_114839.jpg
    62.3 KB · Views: 2
Polepole ajibu hoja ya vyeti vya kuzaliwa vya mgombea wake na ishu ya uporwaji ardhi karagwe iliyoelekezwa kwao toka upinzani wapiga kura hatujapatiwa majibu
 
Kwa jinsi hali ilivyo ni kama wapinzani walikuwa hawajafungiwa miaka 5 kufanya siasa..... Watu wako very inspired.
Nadhani hata CCM hawaamini kinachoendelea....

Hili la Polepole kujitokeza na kujibu linazidi kuzidisha moto wa kifuu....

The battle still continues!!!!!
mimi ni mmojawapo siamini ninachokiona
 
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.

Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.

Karibu.

=======

POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.

Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?

Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.

Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.

Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Htuzungumzii Mpanda.....ishu ni Chato
 
Hata wabunge 5 mkifikisha itakuwa miujiza, sembuse urais!!!
Sawa sawa mkuu...
Watajitokeza Sana kujieleza, sisi tunaenda na lisu na wataumia huko mbele baadae wao watukane Lakini wajue kuwa magufuli ni mwizi. Jambazi, mbaguzi na mtesaji wa wananchi
 
KWANZA......Alituambia Mwingereza Alijenga Reli ya Kaliuwa Mpanda na CCM walishaiiuwa haifanyi kazi tena, Lakini Ukweli ni Kwamba Reli ile inafanya Kazi na Train inakwenda Mpanda kila siku😂😂😂....

Pili.....TUNDU LISU Alisema uwanja Wa Ndege Wa Mpanda ulijengwa kwa Sababu ya Pinda kuwa waziri Mkuu. Autumie akiwa anaenda Xmass naa baada ya Kuastafu uwaziri mkuu uwanja Ule haufanyi kazi hata Ndege alizonunua MAGUFULI haziendi hukoo, uwanja umeota Nyasi.....TUNDU Lissu Alisema UWONGO.! Ukweli uwanja huu unatumika na Bombadia zinakwenda

Tatu.....Kuhusiana Bwawa LA umeme LA Bonde LA Rufiji Akadhihaki Akasema ETI WAMELIPA JINA LA NYERERE ILI TUSIHOJI...Akendelea Kusema Hakuna MTU anaejua Gharama za ujenzi Wa Bwawa LA Nyerere Zaidi ya MAGUFULI na Dotto..HUU NI UWONGO WA KUTUPA.Rais MAGUFULI akiwa Mbele ya TV ya Taifa alilitangazia Taifa kuwa Bwawa lile litagharamu trillion 6..... TUNDU ACHA UWONGO

Nne.....Juzi bila hata Kufanya utafiti Akalopoka baada ya kuona habari za kizushi MITANDAONI. Akawaambia Wafuasi Wake kuwa Rais Anakutana na Wasimamizi Wa Uchaguzi ili Wamhujumu na kumuibia Kura .... KITU AMBACHO NI UWONGO RAIS HAJAKUTANA NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.

Kuna Uzi ulipita Jana Kuna Mwamba aliainisha watu watakaompigia Kura MAGUFULI number moja Alisema watakaompigia kura MAGUFULI NI WATU WENYE AKILI TIMAMU Nimeamini TUNDU Lissu wengi wanampigia chapuo ya Kuwa Rais ni Wahuni na watu Wa kupelekeshwa na mehemko.
Haiwezekani ukawa na AKILI TIMAMU Halafu kuna lijitu linasemasema uwongo tuuu na wewe bila hata kutumia AKILI unakuja kutetea Upuuzi Wa jitu hilo.

TWENDE NA MAGUFULI ANATOSHA
 
NASIKIA WEWE ULIZALIWA NJITI NI KWELI? NDO MAANA MAWAZO YAKO YAPO KINJITI NJITI 🤣🤣🤣 POLE SANA NJITI KUZALIWA NA UBONGO WA 1 GB ! TE! TE! TE! 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom