Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Hiyo ni typing error alikuwa anamaanisha neno Kabisa, uwe unajiongeza na wewe usikariri inamaana hukuenda shule?Sasa 'kanisa' limetoka wapi hapo Shekh Kipozeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni typing error alikuwa anamaanisha neno Kabisa, uwe unajiongeza na wewe usikariri inamaana hukuenda shule?Sasa 'kanisa' limetoka wapi hapo Shekh Kipozeo?
Ngumu kujua, hana DNA za kitanzania pole2Hebu tujuzeni, Huyu Slowslow anatika sehemu gani katika nchi yetu ya Tanzania?
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Wewe uko kijiji gani bwashee?!Bwashee zko wap 50.m kila kijiji na laptop zetu sisi walimu????
Bwashee zko wap 50.m kila kijiji na laptop zetu sisi walimu????
Wewe uko kijiji gani bwashee?!
Kwa hiyo Jukwaani pameshindikana hadi kuitisha Press Conf?
Sisi tumeamua
mimi ni mmojawapo siamini ninachokionaKwa jinsi hali ilivyo ni kama wapinzani walikuwa hawajafungiwa miaka 5 kufanya siasa..... Watu wako very inspired.
Nadhani hata CCM hawaamini kinachoendelea....
Hili la Polepole kujitokeza na kujibu linazidi kuzidisha moto wa kifuu....
The battle still continues!!!!!
Htuzungumzii Mpanda.....ishu ni ChatoKomredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo ujenzi wa SGR na uwanja wa ndege wa Chato.
Karibu.
=======
POLEPOLE: Wenzetu wa Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, uongo mkubwa, upotoshaji wa makusudi. Lakini uzuri Watanzania wanajua uongo na leo nitawapeni ushahidi wa mambo ya uongo watu hawa wamesema.
Ukija kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege, kiwanja cha ndege hatujajenga Chato peke yake. Tunajenga Singida, Mpanda. Na kwanini tumejenga Mpanda? Juzi anasema uwanja wa ndege wa Mpanda umejaa majani, hivi kweli?
Mimi sipendi kuzungumza mambo ya mtu binafsi, nafahamu mwaka 2017 huyu bwana alipata matatizo, matatizo wanapata watu wengi lakini nna shaka somewhere, somehow pahala fulani hivi iko shida kwenye memory.
Uwanja wa ndege wa Mpanda haukujengwa kwa sababu ya Mizengo Pinda, uwanja wa ndege wa Mpanda ambao unafanya kazi mpaka leo hii asubuhi, ndege inatua pale ya bombadier, abiria wengi wanaotumia uwanja wa ndege wa Mpanda sasa hivi ni watalii. Wanakwenda Katavi National Park yenye wanyama mbalimbali.
Ukiangalia flight manifest ya abiria wanaokwenda Mpanda, wengi ni raia wa kigeni.
Sawa sawa mkuu...Hata wabunge 5 mkifikisha itakuwa miujiza, sembuse urais!!!
Watu makatili wa roho za watu by Shabani MarijaniTWENDE NA MAGUFULI ANATOSHA
NASIKIA WEWE ULIZALIWA NJITI NI KWELI? NDO MAANA MAWAZO YAKO YAPO KINJITI NJITI 🤣🤣🤣 POLE SANA NJITI KUZALIWA NA UBONGO WA 1 GB ! TE! TE! TE! 🤣🤣🤣🤣KWANZA......Alituambia Mwingereza Alijenga Reli ya Kaliuwa Mpanda na CCM walishaiiuwa haifanyi kazi tena, Lakini Ukweli ni Kwamba Reli ile inafanya Kazi na Train inakwenda Mpanda kila siku😂😂😂....
Pili.....TUNDU LISU Alisema uwanja Wa Ndege Wa Mpanda ulijengwa kwa Sababu ya Pinda kuwa waziri Mkuu. Autumie akiwa anaenda Xmass naa baada ya Kuastafu uwaziri mkuu uwanja Ule haufanyi kazi hata Ndege alizonunua MAGUFULI haziendi hukoo, uwanja umeota Nyasi.....TUNDU Lissu Alisema UWONGO.! Ukweli uwanja huu unatumika na Bombadia zinakwenda
Tatu.....Kuhusiana Bwawa LA umeme LA Bonde LA Rufiji Akadhihaki Akasema ETI WAMELIPA JINA LA NYERERE ILI TUSIHOJI...Akendelea Kusema Hakuna MTU anaejua Gharama za ujenzi Wa Bwawa LA Nyerere Zaidi ya MAGUFULI na Dotto..HUU NI UWONGO WA KUTUPA.Rais MAGUFULI akiwa Mbele ya TV ya Taifa alilitangazia Taifa kuwa Bwawa lile litagharamu trillion 6..... TUNDU ACHA UWONGO
Nne.....Juzi bila hata Kufanya utafiti Akalopoka baada ya kuona habari za kizushi MITANDAONI. Akawaambia Wafuasi Wake kuwa Rais Anakutana na Wasimamizi Wa Uchaguzi ili Wamhujumu na kumuibia Kura .... KITU AMBACHO NI UWONGO RAIS HAJAKUTANA NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.
Kuna Uzi ulipita Jana Kuna Mwamba aliainisha watu watakaompigia Kura MAGUFULI number moja Alisema watakaompigia kura MAGUFULI NI WATU WENYE AKILI TIMAMU Nimeamini TUNDU Lissu wengi wanampigia chapuo ya Kuwa Rais ni Wahuni na watu Wa kupelekeshwa na mehemko.
Haiwezekani ukawa na AKILI TIMAMU Halafu kuna lijitu linasemasema uwongo tuuu na wewe bila hata kutumia AKILI unakuja kutetea Upuuzi Wa jitu hilo.
TWENDE NA MAGUFULI ANATOSHA