Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

Pole pole ni mchumia tumbo
giphy.gif
 
Akitoka hadharani na kutueleza mchakato wa waliounga mkono juhudi narudia akisema ukweli na nafsi yake itakuwa huru vinginevyo wote ni walewale tu
 
Ninachojua Polepole Yuko mwenyewe baada ya kuachwa na shetani wake.
 
Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.

Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.

My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
Unaijua viete wewe
 
Nimesikitika sana nilipoona Nape akisema kuwa CCM ina wenyewe.Mimi nilifikiri Ni chama cha wananchi na kila mwaanchi anaweza kupata uongozi ndani ya chama.kumbe ni siyo????
 
Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.

Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.

My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
Mnamdanganya sana huyu mjingamjinga na yeye anajaa. Mpeni ushauri sahihi siyo kumpotosha namna hii.
 
Mzee wa kusakata rumba akiwa peku ndani ya ofisi za chichiem enzi hizo

Ova
🤣🤣🤣 Ndiyo maana kila akikumbuka anaweweseka haamini kama maisha yanaweza change ghafla
 
Alikuwa hajajiandaa kisaikolijia

Ova
Ile anaelekea kwenye kilele cha mafanikio ghafla director akasema cut...
Kabisa haamini na hakujiandaa. Mwenzake bashiru kawa kimya kasoma alama za nyakati.
 
Ile anaelekea kwenye kilele cha mafanikio ghafla direct akasema cut...
Kabisa haamini na hakujiandaa. Mwenzake bashiru kawa kimya kasoma alama za nyakati.
Lazima awe mpole

Yeye kuitwa tisiaraei tu analialia

Wenzake wakiitwa na pingu juu,wengine kibano

Na mahakamani lupangooo juu

Atti na kuheshim mamlaka tu

Awe mpole

Hizi sheria tumezitunga wenyewe lazima tuzifate

Kweli kabisa, wakati wenzake wanakamatwa wanawekwa ndani kwa uhuru wa kuzungumza yeye alifurahia na kuwataka wakae kimya, leo imefika zamu yake anadai ana uhuru.
Watu wakiwa kwenye madaraka uwa wanatunga na kuunga mkono sheria ambazo wanahisi zitafanya kazi kwa wengine wao haziwahusu.
 
Si ndiyo hapo

Ova
 
Polepole hana namna.
Apite kwenye mapito yale yale aliyowapitisha wengine.
 
Kiboko ya slow slow ni Magoti aliyemlipua kwa kupokea rushwa za wagombea wa ccm wakati wa uchaguzi.
 
Ikifikia mahali JF ifungwe, ihujiwe na serikali tushangilie hivi hivi.
 
Back
Top Bottom