MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Watanzania gani hao wanaomuunga mkono huyo muhuni kanjanja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole pole ni mchumia tumbo
Wahuni wana ubora hatariTuliwambia jiwe akifa mambo yataludi vilevile shida katiba mbovu
Unaijua viete weweHakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.
Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.
My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
Mzee wa kusakata rumba akiwa peku ndani ya ofisi za chichiem enzi hizoUnajia viete wewe
Mnamdanganya sana huyu mjingamjinga na yeye anajaa. Mpeni ushauri sahihi siyo kumpotosha namna hii.Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm.
Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho. Kumbuka wewe ni sauti ya umma na unatumika kama microphone.
My take; Ukiona wahuni wanatumia njia za msituni kupambana na hoja ujue wamekwama.
🤣🤣🤣 Ndiyo maana kila akikumbuka anaweweseka haamini kama maisha yanaweza change ghaflaMzee wa kusakata rumba akiwa peku ndani ya ofisi za chichiem enzi hizo
Ova
Alikuwa hajajiandaa kisaikolijia🤣🤣🤣 Ndiyo maana kila akikumbuka anaweweseka haamini kama maisha yanaweza change ghafla
Ile anaelekea kwenye kilele cha mafanikio ghafla director akasema cut...Alikuwa hajajiandaa kisaikolijia
Ova
Lazima awe mpoleIle anaelekea kwenye kilele cha mafanikio ghafla direct akasema cut...
Kabisa haamini na hakujiandaa. Mwenzake bashiru kawa kimya kasoma alama za nyakati.
Kweli kabisa, wakati wenzake wanakamatwa wanawekwa ndani kwa uhuru wa kuzungumza yeye alifurahia na kuwataka wakae kimya, leo imefika zamu yake anadai ana uhuru.Lazima awe mpole
Yeye kuitwa tisiaraei tu analialia
Wenzake wakiitwa na pingu juu,wengine kibano
Na mahakamani lupangooo juu
Atti na kuheshim mamlaka tu
Awe mpole
Hizi sheria tumezitunga wenyewe lazima tuzifate
Ova
Si ndiyo hapoKweli kabisa, wakati wenzake wanakamatwa wanawekwa ndani kwa uhuru wa kuzungumza yeye alifurahia na kuwataka wakae kimya, leo imefika zamu yake anadai ana uhuru.
Watu wakiwa kwenye madaraka uwa wanatunga na kuunga mkono sheria ambazo wanahisi zitafanya kazi kwa wengine wao haziwahusu.