Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

Nimeisoma barua ya balozi mpaka mwisho binafsi sijaona hata kosa moja alilotenda mpaka ahofie kurudi nchini; lkn kwa sababu tumesoma shule tofauti wapo wale waliopanda mabasi ya njano hapo wataona kuna kosa la uhaini
Mungu akutangulie balozi
Kwani kwa Lissu ulipomsikiliza uliona kuna kosa au uhaini?

Kwa hii nchi yetu na serikali yake, kama umewahi kwenda kinyume na o halafu hujawahi kusingiziwa na kushtakiwa kwa kesi za kutungwa, basi nenda ukamshukuru sana Mungu.
 
Kama watu wanakamatwa na kuumizwa kwa visababu visivyo na kichwa wala miguu, Polepole akithubutu kwenda Tanzania saivi lazima atekwe na kufichwa mazima
 
Kwani kwa Lissu ulipomsikiliza uliona kuna kosa au uhaini?

Kwa hii nchi yetu na serikali yake, kama umewahi kwenda kinyume na o halafu hujawahi kusingiziwa na kushtakiwa kwa kesi za kutungwa, basi nenda ukamshukuru sana Mungu.
Ndio maana nimesema siwezi kushangaa kama Balozi atakamatwa kwa mfano huo wa lissu
 
Mkuu msimamo wa Mdude sio mfano mzuri kwa Sasa.Maana yaliyompata hakuna mtu anayataka
Ila we need to do something kama vijana, wananchi wasiopenda mienendo mibovu, uonevu na kukosekana kwa democracy, tabia ya kuua ua wapinzani na wanaharakati itakoma
 
Hivi mnafikiri Polepole yuko peke yake? Wapo wengi wanasubiri muda muafaka. Kabla ya mwezi October watajitokeza wengi na mwisho watatoa tamko la pamoja.
 
Back
Top Bottom