Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
- Thread starter
- #41
Hawana Aibu HawaKwasasa hawawezi kumfanya chochote, kutokana na mazingira yalivyo kimataifa. Hawawezi...
Hawana Aibu HawaKwasasa hawawezi kumfanya chochote, kutokana na mazingira yalivyo kimataifa. Hawawezi...
Inasemekana IMEDUKULIWA.
NO REFORMS, NO ELECTION.Hata wakikuita uje ujieleze, USIJE MKUU , Tokomea zako hata US.
Wazalendo wanahitaji ulinziHata wakikuita uje ujieleze, USIJE MKUU , Tokomea zako hata US.
GWAJIMA kwa sasa amejificha wapi!?Watu ambao Sina mashaka nao ni pole pole, si muoga ni type ya Gwajima, anamisimamo yake hajali kupoteza kwa lolote. Mbegu Bado tunazo mbona
kashatubu na kutubu kwenyewe hukoPolepole kwenye hilo ana hoja nzito, lakini Ushirika wake na Jiwe bado umemtengenezea Maadui wengi sana
Baada ya kukatwa!Hivi mnafikiri Polepole yuko peke yake? Wapo wengi wanasubiri muda muafaka. Kabla ya mwezi October watajitokeza wengi na mwisho watatoa tamko la pamoja.
Unasubiriwa muda muafaka, kumuua nyoka yataka timing. Ngoja safu zijipange utokee upinzani ndani ya chamaGWAJIMA kwa sasa amejificha wapi!?
Watu ambao Sina mashaka nao ni pole pole, si muoga ni type ya Gwajima, anamisimamo yake hajali kupoteza kwa lolote. Mbegu Bado
Ni kawaida unajua watu wafupi huwa ni machachari sana halafu wakorofiii shida hii ni kwa sababu kichwa kipo karibu na tumbo
Wati wanatekwa na kuuliwa kwa comments za mitandaoni sembuse bwana balozi kutoa barua hatari awe na plan nzur vinginevyo watammaliza mama ana vinyongo sanaKama watu wanakamatwa na kuumizwa kwa visababu visivyo na kichwa wala miguu, Polepole akithubutu kwenda Tanzania saivi lazima atekwe na kufichwa
Akirudi kibwege watamuuaWazalendo wanahitaji ulinzi
Fala wew ponjoro wa kamatiMimi Ponjoro wa Kinondoni nateseka sana, kwanini mnataka kumtoa huyu mama wakati sisi tunakula vizuri tu? Mimi nataka wabunge tupewe plate number maalumu.
Kwenye mbawa za Mungu wake, wabaya hamtamuona😋GWAJIMA kwa sasa amejificha wapi!?
Nimehisi pia ni mbinu ya kuwatoa watu kwenye mijadala ya NRNE.Huyo Hana madhara kabisa
Ni part yq thr same system for over 10 years
He was sidelined already
Aaah kwanini asije na nani ana muda wa kumuhoji unafikiri? Hivi wakati watu wanaokotwa kwenye viroba Pole Pole alikua upande gani?Hata wakikuita uje ujieleze, USIJE MKUU , Tokomea zako hata US.
Mbinu kwa kumpakazia kiongozi kuwa utawala wake haujali haki na demokrasia ..unajua hata spinning zinakuwaje mkuu?Nimehisi pia ni mbinu ya kuwatoa watu kwenye mijadala ya NRNE.
Jana alikuwa anafanya jogging KaweGWAJIMA kwa sasa amejificha wapi!?
Mdude yuko wapiPole pole anatarudi huyu anamisamamo kama ya mdude
We tahira nimeongelea misimamo au alipo!?Mdude yuko wapi