Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
CCM unaijua kaka,hata aondoke mwenyekiti wa Chama kwenda kuanzisha chama kingine CCM itabaki kuwa imara na kushinda chaguzi,ni taasisi yenye misingi imara kama ukuta wa shaba
 
CCM unaijua kaka,hata aondoke mwenyekiti wa Chama kwenda kuanzisha chama kingine CCM itabaki kuwa imara na kushinda chaguzi,ni taasisi yenye misingi imara kama ukuta wa shaba
Mkuu hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho, na pigo linalokuja linatoka kwa Mungu mwenyewe muumba wa mbingu na nchi.
 
Kama watu wanakamatwa na kuumizwa kwa visababu visivyo na kichwa wala miguu, Polepole akithubutu kwenda Tanzania saivi lazima atekwe na kufichwa mazima


Kwa kuwa ameyaweka mambo yote wazi, kamwe hawatathubutu kumteka. Kitu pekee wanachoweza ni kumbambikia kesi, siyo kumteka.
 
kama kweli hii ameandika yeye, arudi nchini at his own peril. watamfuta hataamini macho yake tena watamdakia pale pale airport kwa sababu polepole ana nguvu ya ushawishi sana, na ana akili/kipawa cha kujenga hoja.

Hawatathubutu kamwe kumteka. Na siku akitua nchini, vyombo vyote vya habari vya kimataifa na wawakilishi wa balozi watakuwepo airport kushuhudia wadhulumu haki watamfanya nini.
 
Hawatathubutu kamwe kumteka. Na siku akitua nchini, vyombo vyote vya habari vya kimataifa na wawakilishi wa balozi watakuwepo airport kushuhudia wadhulumu haki watamfanya nini.
nani amekwambia watekaji wanaogopa vyombo vya habari na vya kimataifa? usije kufanya mchezo.
 
Rudi mwaya usiwasikilize watu..uje uendeleze shule yetu ya kataa wahuni
 
Nimeisoma barua ya balozi mpaka mwisho binafsi sijaona hata kosa moja alilotenda mpaka ahofie kurudi nchini; lkn kwa sababu tumesoma shule tofauti wapo wale waliopanda mabasi ya njano hapo wataona kuna kosa la uhaini
Mungu akutangulie balozi
Gwajima alitenda kosa gani?
 
Back
Top Bottom