Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

Polepole Usirudi Nchini, mpaka Mama yao aondoke! Shambulio ulilolifanya, hawana namna ya kucounterattack

Jamaa kacheza faulo ya akili, acha ale maybe Sha hapo Harvana.
 
Mimi Ponjoro wa Kinondoni nateseka sana, kwanini mnataka kumtoa huyu mama wakati sisi tunakula vizuri tu? Mimi nataka wabunge tupewe plate number maalumu.
Veve nini ponjoro veve!
Sisi iko siku mingi pale India street, hatuna mabo kuba kuba, sasa veve nataka plate number, duka naachia nini veve!
 
1752493739099.jpeg
 
Wajinga na wanafiki tayali wameparamia sgr ya watu eti barua ya balozi haina impact, kumbuka dogo ni balozi sio kitu kidogo
Yaani CDM mnademka tu kila ngoma ipigwayo nyie mmo!
Hivi sasa CDM wameshaanzishiwa story mhangaike nayo.
CCM wameona ya Gwajiboy imeanza kuchuja wamewaletea ya Polepole na CDM wamo tu
 
Back
Top Bottom