Huyu mzee nae ameshindwa kujibana mpk anajionyesha bila woga aisee. Haya CV ya Abdul pleaseUnamaanisha saa kama hii hapa👇View attachment 3458200
Mimi hii nchi imenishindaaaYaani mtu anapiga hela halafu anasafisha kwa kujenga na kununua gari?
Kweli Ndio maana Wapumbavu hawaishi
Sio kweliNchi hii kila mtu ni mwizi hata wananchi wenyewe ni wezi tu
Ni kweli.kuna mada hapa nilishawai leta kuhusu kariakoo.
Kuna mmoja Zahoro huyu ni mmoja watumishi wa wahuni CCM natoa code
na masikini pia, ndiyo mana kila kitu kinawatoa rohoMajizi ni mengi Sana nchi hii
Ndio maana kodi kila sehemu, kisa kuna wapigaji wanapiga mpaka hawajui pa kuzipeleka.Mimi hii nchi imenishindaaa
Yaani unazungukwa na mizwazwa na mimbulula kila kona....
Wapumbaf hawaishi aje yaani?Yaani mtu anapiga hela halafu anasafisha kwa kujenga na kununua gari?
Kweli Ndio maana Wapumbavu hawaishi
Wamemwibia nani?Nchi hii kila mtu ni mwizi hata wananchi wenyewe ni wezi tu
Ndio walivyo tena duniani koteDuh
SS nimeelewa kule Kwa mange alivyoelezea jinsi hao vijana wenye nchi wanavyotumia majina ya watu Fulani Fulani kumiliki assets,etc
Na jinsi ambavyo wananunua nyumba,maeneo huko masaki Kwa kutumia cash hawataki kukuingizia bank pesa....
Ila hii nchi 🙌🤔
Hii aina ya upigaji na utakatishaji upo sehemu nyingi duniani, na wanalizana sana hizo hela chafu.Wapumbaf hawaishi aje yaani?
Ni kweli kabisa, kila mmoja ni mwizi tuNchi hii kila mtu ni mwizi hata wananchi wenyewe ni wezi tu
Kama ni kweli basi ni hatari sana mkuu.Huyu mzee nae ameshindwa kujibana mpk anajionyesha bila woga aisee. Haya CV ya Abdul please
Aisee ndio maana kajaza maghorofa Bunju, Mbweni na Chanika halafu ni white elephants hamna mtu anayeishi hayo majengo miaka na miakaWapumbaf hawaishi aje yaani?
Kwanza unajua maana ya kutakatisha pesa? Sio kuchukua maji na sabuni ukaloweka?Nikinunuwa gari pesa inatakata vipi?
Gari linakuwa ni bidhaa halali unayoweza kuiuza kwa mtu na pesa inayopatikana kutokana na mauzo hayo haiwezi kuhojiwa.Nikinunuwa gari pesa inatakata vipi?