Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

Mpaka sasa Polepole gori 10 ccm na mafisadi 0
 
Mimi hii nchi imenishindaaa
Yaani unazungukwa na mizwazwa na mimbulula kila kona....
Ndio maana kodi kila sehemu, kisa kuna wapigaji wanapiga mpaka hawajui pa kuzipeleka.
Hawa wakisikia baridi wanaweza kuzichoma zikawa kama kuni (Escobar)
Alichoma $2m kuwapa joto wanae

Yaani kila leo vijana wanakosa ajira ila kuna watu wamezilalia
Sasa wakijenga viwanda watapungukiwa na nini
 
Ndio walivyo tena duniani kote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…