G guest-1790917349 Guest Aug 30, 2025 #41 misasa said: Unamaanisha saa kama hii hapa👇View attachment 3458200 Click to expand... Duh
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 2,153 Reaction score 3,140 Aug 30, 2025 #42 Sakasaka Mao said: Gari linakuwa ni bidhaa halali unayoweza kuiuza kwa mtu na pesa inayopatikana kutokana na mauzo hayo haiwezi kuhojiwa. Click to expand... Lakini nikiwa na gari ya 600m si naweza kutakiwa maelezo nimewezaje kuimiliki?
Sakasaka Mao said: Gari linakuwa ni bidhaa halali unayoweza kuiuza kwa mtu na pesa inayopatikana kutokana na mauzo hayo haiwezi kuhojiwa. Click to expand... Lakini nikiwa na gari ya 600m si naweza kutakiwa maelezo nimewezaje kuimiliki?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 31, 2025 #43 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,495 Reaction score 185,562 Aug 31, 2025 #44 Smart911 said: Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Wamemtoa nje ya mfumo Kwamba ndo anayaona haya Saivi???? !!!!
Smart911 said: Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw Click to expand... Wamemtoa nje ya mfumo Kwamba ndo anayaona haya Saivi???? !!!!