Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama amekikuta , atakiacha.Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.
Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Jiwe katoa rushwa 5 mil,na jogoo kanunua kwa lakiMbona wote wametoa rushwa ndipo washinde sasa itakuwaje
Umesahau SegereaNauliza tu;
Na hawa taarifa zao anazo?
1.Mbunge wa Mbinga
2.Nkasi kaskazini
3.Sumbawanga mjini
4.Kishapu?
Hiyo ndo CCM tuloizoea mlamu, sio rushwa ni takrima!
@Pascal Mayalla alifikiri bandiko zake za kujipendekeza JF zingempa kura akasahau mkono mtupu haulambwi!
Naona Sasa Hivi anatupa mashambulizi kwa kuwakosoa Akina Garson na Abbas@Pascal Mayalla alifikiri bandiko zake za kujipendekeza JF zingempa kura akasahau mkono mtupu haulambwi!
Dah, ila kuitetea CCM inabidi uwe fyatu! Kuna watu watakuja kuwatetea sasa hivi
Mbona kuna wajumbe walilamba pesa bado wakatembeza spana kwa waliotoa? Wote waliokula hizo pesa bado walikuwa na uwezo 100% wa kutowapigia kura hao waliotoa na wala wasingefanywa kitu.
Umeongea maneno ya maana ,maana mara yanakimbiza mapepo ya mwenge mungu wa CCM Nyamrunda yanaleta balaa tu kwenye nchi ndio maana nchi haipati maendekeo.Tumechoka kutawaliwa na Pepo /mapepo. Braza Lissu tusaidie