Uchaguzi 2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

Isingekuwa rushwa CCM msingerudishiwa kituo cha channel 10.
 
Chama amekikuta , atakiacha.
Hana ubavu wa kupambana na watoa rushwa. Ajaribu tuwone hadharani
 
Mbona wote wametoa rushwa ndipo washinde sasa itakuwaje
 
Mwenyekiti mwenyewe anatoa rushwa.....juzi Mwenyekiti alihonga milioni tano akitokea kwenye msiba wa Mkapa!
Polepole ni mbwa tu anabweka yupo mfuga mbwa mwenyewe anaeleweka vizuri tu......kelele za Polepole ni janja ya kuwakingia akina Paulo Makonda vifua
 
Wee? Wanageana rushwa barabarani hivyo?
 
Mbona kuna wajumbe walilamba pesa bado wakatembeza spana kwa waliotoa? Wote waliokula hizo pesa bado walikuwa na uwezo 100% wa kutowapigia kura hao waliotoa na wala wasingefanywa kitu.
 
Dah, ila kuitetea CCM inabidi uwe fyatu! Kuna watu watakuja kuwatetea sasa hivi
 
Dah, ila kuitetea CCM inabidi uwe fyatu! Kuna watu watakuja kuwatetea sasa hivi

Hao wanaowatetea ndio hawa wajumbe wanafurahia bahasha hapa
 
Attachments

  • Kada anafurahia bahasha.mp4
    1.7 MB
Mbona kuna wajumbe walilamba pesa bado wakatembeza spana kwa waliotoa? Wote waliokula hizo pesa bado walikuwa na uwezo 100% wa kutowapigia kura hao waliotoa na wala wasingefanywa kitu.

Wajumbe wenyewe ndio hawa ??
 
Attachments

  • mjumbe wa CCM.mp4
    2.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…