Hakika wewe umesema, haya ni mapepo..ukiona jambo lina usugu halirekebishiki kwa njia za kibinadamu ujue kuna nguvu siyo ya kibinadamu ndiyo inalifanya hilo jambo.. Rushwa ya safari hii kura za maoni ni mapepo kabisa..Tumechoka kutawaliwa na Pepo /mapepo. Braza Lissu tusaidie
Acha fedha za serikali zishuke kwenye mzunguko kwa wananchi, maana hali ni mbaya, maendeleo ya vitu ila kwa watu tunayatafuta kwa tochiKumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Kumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Wajumbe wakale wapi?Kumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Delete ccm Oct 28Kumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Wacha tu bora liende, kurudia ndiyo madudu yatakuwa mengi na mpasuko utaongezeka na muda pia siyo rafiki.Kumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Nashauri watanzania tukatae wabunge wanaogombea kwa ticketi ya ccm manake wamechaguliwa kwa rushwa.Kumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Pia mbadili mgombea wenu wa uraisi hauziki saa nne asubui chaliKumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Wajumbe ambao ni wananchi wa hali ya chini mmewasabibishia imaskini mkubwa. Acha na wao wale chochote.Kumekuwa na malalamiko karibu nchi nzima kuwa rushwa ilitumika sana kwa watia nia kwa nafasi mbalimbali iwe ni Ubunge na Udiwani. Naishauri Chama changu cha CCM kuwa zoezi hili LIFUTWE na utaratibu mpya uanze kwa watia nia. Inasemekana kuwa kura za maoni katika awamu hii imetia fora kwa watia nia kutoa rushwa ambayo historia katika Chama chetu cha CCM.
Magufuri mwenyewe katoa rushwa ndo maana ikatolewa fomu moja ya ugombea ndani ya ccm ...yaani mla rushwa amdhibiti mla rushwa mwenzake?? Duuuh ngoja tuoneKatibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku.
Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti anaandaa majina yake kutoka "Mfukoni" Anataka kupambana na ACT Wazalendo.Hadi sasa naweza kuwa na uhakika na wagombea kama watatu ambao hawana harufu ya rushwa ambao ni mh Majaliwa ( Ruangwa), Prof Kitila ( Ubungo) na Prof Kabudi ( Kilosa).
Mungu wape ujasiri CCM wa kutuletea wagombea sahihi
Maendeleo hayana vyama!
Kama siyo wala rushwa hata wakitoka kwenye kikapo hamna shida!Mwenyekiti anaandaa majina yake kutoka "Mfukoni" Anataka kupambana na ACT Wazalendo.