Usijichoshe mkuu kumaliza muda wako watu wa hivyo ndio mtaji wa chama tawalaHivi una kitu chochote cha kukufanya utoe kauli kama hiyo, au ni ule uropokaji wa mapunguani wa akili.
Kama ungekuwa na akili japo kidogo, ungeweka taarifa ya kweli uliyo nayo wewe ili kuthibitisha yaliyosemwa na Poepole ni uzushi.
Kama ni wewe uliyeruka ukuta, na sababu ya kuruka huo ukuta siyo hiyo aliyoisema Polepole, utuambie.
So unafurahia anachopitia ?Naona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Magufuli.
What goes around comes right back around... wahenga walisema.
Kama kweli Polepole uko nchini si uende Polisi ukaropoti tukio?
View attachment 3409562
Naona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Magufuli.
What goes around comes right back around... wahenga walisema.
Kama kweli Polepole uko nchini si uende Polisi ukaropoti tukio?
View attachment 3409562
Dada ake ameolewa au alikua anaishi peke yake?Naona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Magufuli.
What goes around comes right back around... wahenga walisema.
Kama kweli Polepole uko nchini si uende Polisi ukaropoti tukio?
View attachment 3409562
Hana jipya yeye nae ni muasisi wa hayo labda aje aseme sanane yupo wapi?Kila jambo na wakati wake.
Hakuna aliyezaliwa mwema kabisa bila doa au m-baya kabisa bila jema lolote.
Ili siku ikamilike kuna masaa ya mwanga na ya giza pia.
Hivyo relax....mfuatilie Polepole saa tano.
Karma is a bitchNaona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Magufuli.
What goes around comes right back around... wahenga walisema.
Kama kweli Polepole uko nchini si uende Polisi ukaropoti tukio?
View attachment 3409562
Yupo daresalama kajaa tele ndugu.Kwani Polepole yupo dar hapa?
Unaifahamu Kuba wewe in Polepole's voice🤣🤣🤣Anapaswa aondoke hapa nchini kama yupo hapa, ni hatari kubwa sana kwa usalama wake. Utawala wa dhalimu wa nchini Urusi Watu kama yeye huwa wanakuwa eliminated by poisoning, achukue tahadhari kubwa sana, Utawala uliopo hapa kwetu una uswahiba mkubwa Sana na Utawala wa Urusi. Akumbuke kwamba ndege wafananao huruka pamoja!
Hapo bado watatekana sanaTundu Lisu 2018: Mkitumaliza Sisi mtaanza kulana Wenyewe kwa wenyewe 🐼
Uki deal sana na wakosoaji, unaongeza wakosoaji. Kila wanavyoumia/kufa/kufungwa/kupotea,, unaongeza makovu ya hasira, chuki, visasi vya ndugu, watoto, wajane, wapambe na marafiki wa wahanga.🔴 Watu wavamia nyumbani kwa dada wa polepole, wafuata taarifa
Balozi Humphrey Polepole ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii.
Amesema watu wameruka ukuta nyumbani kwa dada yake huko Bahari Beach. Walipokutana naye, wakamwambia wamekuja kufuata taarifa kuhusu Polepole mwenyewe.
Kupitia kauli yake mwenyewe, ameandika:
"Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu bahari beach. wamemwambia dada yangu kuwa wamefuata taarifa.
ninaenda kujiridhisha.
sina tatizo kabisa, nilishamwambia mungu wa mbinguni na anajua kuwa nina yeye tu." Ameandika
Tukio hili limeibua maswali mengi.
Je, kuna mtu au kikundi kinamfuatilia Polepole?
Ni kwa sababu gani hadi ndugu wa karibu wanaanza kulengwa?
👀 Watu wameanza kuhoji:
➡️ Huu ni ujumbe wa vitisho au ni hila ya kisiasa?
➡️ Je, huu ni mwanzo wa mambo makubwa yanayokuja?
🗣️ Tuambie maoni yako — unadhani nini kinaendelea hapa?
👇👇👇
#polepole #usalama #habarimpya #halisimax #baharibeach #taarifa #tanzania #siasa #familia #halisinewsflash #tanzania #halisimediatzView attachment 3409470