GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ninyi mbwa wa CCM na Samia wenu na kitambi chake, kichwa cha mviringo, acheni kuwaonea watu wasio na hatia. Yaani mtu akijiuzulu lazima muiumize family yake? Punda nyie, pumbavu kabisa.
 
Ha ha sasa hao si wale wale wasiojulikana
Same style ,same methololgy poor thinking
 
Unataka kusema nini bro yaan hiki ndicho ulichojifunza Malawi na Cuba? What is this bro? Unalialia nini? Unataka kusema nini? Kwanini usiseme na kukubariana na risk zote? Kwanini unasitasita? Nini unataka kutuambia kabla hujakata roho bro? Na kwanini unaogopa kuongea? Unalazimishwa utubu na wewe hutaki kutubu? Sema kila kitu basi maana watanzania ukiwaambia ujinga wanakugeuka wanakuona km ndezi tu, wewe njoo hio saa 5 halafu ongea ujinga utaona unavyogeuziwa kibao na hawahawa watanzania unaotaka kuongea nao watakuona bonge la fala, trust me
 
Polepole hakuona ubaya wa ubaguzi akauendeleza wakiwa na Magufuli leo ubaguzi umewageukia,wanadhani Mwl.Nyerere alikuwa anaongea ujinga,na alisema wakiisha kuitenda dhambi ya ubaguzi iwatafune kwelikweli naona sasa kazi imeanza rasmi.
 
Walifikiri wakiwala wapinzani watakuwa meshiba Sasa njaa imewaka wameanza kukamatana na kulana,sisi tutawaletea pili pili ,kachumbali na chumvi tu kuwaongezea laza
 
Cha msingi ikifika saa tano useme uliyotaka kusema, maana Nape yalimtokeaga hayo na haukusikika ukisema lolote
 
Mungu hujibu kwa wakati, watu tulisema ipo siku hawa wanaoshiriki kuteka na kuua ndugu zetu ipo siku na wao wataonja maumivu hayo.
 
CUBA ALIENDA KUJIFUNZA KITU....haiwezekani location isome upo wapi alafu usipatikane na hawa tiss
 
Watekaji wauaji huwa unaletewa taarifa na nani?
 
Kama polepole ana sura mbaya hivyo, dada yake ni kama dume, havutii
 
So unafurahia anachopitia ?
Polepole katika awamu ya ya JPM alishiriki na kujua kwamba kiongozi wake alikuwa anateka watu alafu akakaa kimya?

Polepole huyu huyu alishiriki kuua upinzani aliwatisha viongozi kadhaa wa CDM kuhamia kijani kuunga juhudi la sivyo kushughulikiwa!!

Polepole huyu huyu alijinadi na story ya Ma Vietee...akatuuliza
“Viete anaijua viete?”...🙌🏿

Leo anasema kuna malendikruza nje ya nyumba ya dada yake…

Kwani si ni huyu huyu alikua anayatukuza malendikruza makubwa kuliko hayo? ahh.. sisi hatujui Mavietee tutajuaje Malendikruza

🙌🏿😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…