Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Yes ndiyo maana anawahoji wao walikuwa wapi?Hilo nalo neno!!!!
Wao hiyo awamu ya tano walisema nini?
Magufuli mwenyewe aliwahi kukemea utekaji wa Mo
Ery, kesi ya Chea inaendelea lini??😆😆😆😆
😂😂😂😂😂Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi?
Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea Kibiti mkoa wa Pwani.
Mwamba ni Lissu tu aliyasema wakati wa Mwinyi, Mkapa, JK na Jpm pia.Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi?
Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea Kibiti mkoa wa Pwani.
Mkuu unashuka mapema mnoooo, kaa kidogo tusogee sogeeHii nchi I need a break ... Mie nashukia hapa, acha nifurahie uwepo wangu Dunia. Uyo polepole na wanaccm wote ni wasaka tonge na watetezi wa matumbo Yao.
Naachia line nikiwa huku Malawi nchini Madagascar.
The Game ChangerMwamba ni Lissu tu aliyasema wakati wa Mwinyi, Mkapa, JK na Jpm pia.
Mkuu uvumilivu Huwa na kikomo. Kwangu kuwavumilia na kusympathise kina polepole, mpina, January na nauye ni kujikosea wewe mwenyewe.Mkuu unashuka mapema mnoooo, kaa kidogo tusogee sogee
Yaliyotokea kibiti?!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi?
Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea Kibiti mkoa wa Pwani.
Yeye angesema wanaccm wenzake ni yupi aliyehoji. Halafu mauji ya mkuranga yalifanywa siri na serekali, kiasi kwamba hata wabunge wa upinzani walipotaka yajadiliwe bungeni, spika aliagizwa azuie huo mjadala.Yes ndiyo maana anawahoji wao walikuwa wapi?
Tabia hii ya kutegemea mtu mmoja tu azungumze au kuchukua hatua inashangaza sana. Katika harakati za kweli za mabadiliko, kusema pekee hakutoshi, kunahitajika zaidi ya maneno. Mfumo mbovu huondolewa na mfumo mbadala, si kwa kauli za mtu mmoja hata awe mashuhuri kiasi gani. Hizi hadithi za kila mara za kumtazama mtu mmoja kama mkombozi hazitatufikisha popote. Tundu Lissu si Masiya; anahitaji nguvu ya watu wengi, taasisi madhubuti na mikakati ya pamoja ili kuuangusha mfumo uliokita mizizi. La sivyo, tutajikuta tunaendelea kutazama sinema ya Lissu kama watazamaji wa kawaida, badala ya kuwa washiriki wa mabadiliko tunayoyatamani. Kwa hakika, Tundu Lissu peke yake hatoshi kuiondoa CCM madarakani. Kumbukeni maneno haya.Mwamba ni Lissu tu aliyasema wakati wa Mwinyi, Mkapa, JK na Jpm pia.
Hata hivyo lazima tukubali kwamba jamaa ametupambania kweli weliTabia hii ya kutegemea mtu mmoja tu azungumze au kuchukua hatua inashangaza sana. Katika harakati za kweli za mabadiliko, kusema pekee hakutoshi, kunahitajika zaidi ya maneno.
😀Hilo nalo neno!!!!
Wao hiyo awamu ya tano walisema nini?
Magufuli mwenyewe aliwahi kukemea utekaji wa Mo
BUnge lilelile watu wale wale.Yeye angesema wanaccm wenzake ni yupi aliyehoji. Halafu mauji ya mkuranga yalifanywa siri na serekali, kiasi kwamba hata wabunge wa upinzani walipotaka yajadiliwe bungeni, spika aliagizwa azuie huo mjadala.