umeshajiandaa na maisha baada ya haya?Yaliyotokea kibiti?!!!!π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Dah, ama kweli binadamu. Anyways, acha tuishi miaka yetu 60-80 tujiondokee
Hilo halina mpinzaniHata hivyo lazima tukubali kwamba jamaa ametupambania kweli weli
Ndo kauliza boss, wewe ulisema? Ilikuwa awamu ipi?Nashangaa sana anaowasikiliza hawa wanafki. Pole pole aseme tu hajaridhika kuwekwa mbali na meza kuu. Ivi kiasi kile cha utekaji na mauwaji yaliyotokea wakati wa jiwe uyu yeye hakuyaona? Kuna watu wamepotea wakati wa utawala wa jiwe mpaka leo haijulikani walipo watu hao mbona hawakusema ?
Najutia kupoteza muda wangu, kumbe unamuongelea huyo kibaraka, huyo hatoki korokoroni anasubiri mvua za kutosha huyo mhainiTabia hii ya kutegemea mtu mmoja tu azungumze au kuchukua hatua inashangaza sana. Katika harakati za kweli za mabadiliko, kusema pekee hakutoshi, kunahitajika zaidi ya maneno. Mfumo mbovu huondolewa na mfumo mbadala, si kwa kauli za mtu mmoja hata awe mashuhuri kiasi gani. Hizi hadithi za kila mara za kumtazama mtu mmoja kama mkombozi hazitatufikisha popote. Tundu Lissu si Masiya; anahitaji nguvu ya watu wengi, taasisi madhubuti na mikakati ya pamoja ili kuuangusha mfumo uliokita mizizi. La sivyo, tutajikuta tunaendelea kutazama sinema ya Lissu kama watazamaji wa kawaida, badala ya kuwa washiriki wa mabadiliko tunayoyatamani. Kwa hakika, Tundu Lissu peke yake hatoshi kuiondoa CCM madarakani. Kumbukeni maneno haya.
ππππ