Uchaguzi 2020 Polepole: Zitto Kabwe atafute kazi nyingine, 2020 hatarudi Bungeni

Huyu mjinga nani kamwambia kuwa ataiona 2020! Hiyo ni ndoto anayoota!
 
Alafu taratibu bana mbunge atafute kazi nyingine kwa kupeleka train mwanza huku kigoma tukitaabika na mwanza wakiendelea kuwa nakila aina ya usafiri hatabidhaa zaujenzi wao wananua bei chini kuliko kigoma ccm huwa mnaipenda kgm wakati wa kura tu ccm haijawi kutuhurumia kgm zaidi yahadaa hayo maji magu je Alisha futa lini kauli yake yakusema yatapatikana mwishoni mwezi wa 11-2017 ilituripuke na hiyo kauli ya polepole yakutoa huduma ya maji mwezi 5-2018 nadhani haijuwi kigoma
 
Wewe nae ni think tank ya maccm hapo ulipo
 
Jimbo la Kishapu, Salawe, usiyasahau, haya majimbo ni ya hovyo zaidi
 
Kupeleka maji tu ndo mmemaliza shida zao?
Laana ya karne !
 
Ndiyo maana yake. Wananchi waliwapa ridhaa ya kutekeleza hayo waliyowaahidi ndani ya miaka mitano. Baada ya hapo wananchi watawahukumu kupitia sanduku la kura 2020. Hivyo katika kipindi hiki wanajukumu ya kutekeleza hayo waliyoahidi. Tuwaache huru watekeleze ahadi za ilani yao. Tusiwakwamishe wala kuwawekea vizingiti vya kutekeleza ilani yao. Hakuna sababu za kuwapigia makelele, kuwakosoa na kuwatukana kwa sasa. Hakuna sababu ya nyie kuwashauri kama wanakosea kwani wakikosea ndiyo utakuwa mtaji wenu 2020. Mnatakiwa kuomba wazidi kukosea. Mukiwasahihisha mtakosa mtaji 2020. Infact mnatakiwa muwashauri vitu vya kuwapotosha ili kujenga mtaji wenu ifikapo 2020. Mnatakiwa kila siku kuwaombea wasifanikiwe ili muje mpate mtaji wa kuwashawishi wananchi wawachague ninyi. Hii diyo dhana ya multiparty politics inavyofanya kazi.
 
Tuwaache huru watekeleze ahadi za ilani yao. Tusiwakwamishe wala kuwawekea vizingiti vya kutekeleza ilani yao.

Kwa hiyo unasema kwamba umaskini na huduma mbovu za kijamii kunasababisha na serikali za CCM kukwamishwa na kuwekewa vizingiti kwenye kutekeleza ilani zao?

Ina maana serikali za CCM kushindwa kutenga 10% ya bajeti yake kwenye kilimo ili kuboresha maisha ya subsistence farmers (kwa mujibu wa Azimio la Maputo la mwaka 2003), kumesababishwa na wapinzani?

Serikali za CCM kushindwa kupeleka pesa za bajeti zilizoidhinishwa na Bunge ni kwa sababu ya vizingiti vya upinzani?

Unaweza kuwa specific katika kuelezea hivyo vizingiti na namna wanavyokwamisha na upinzani?

Hakuna sababu za kuwapigia makelele, kuwakosoa na kuwatukana kwa sasa.

Sababu ipo kwa kuwa maisha ya watu yanahusika hapa. Kwa akili zako za kikada, unaona sawa. Lakini mimi ninaangalia suala hili nje ya box la ukada. Siwezi kukaa kimya ati nisubiri miaka 5 iishe, wakati naona serikali ya CCM haifanyi sawa.

Hakuna sababu ya nyie kuwashauri kama wanakosea kwani wakikosea ndiyo utakuwa mtaji wenu 2020.

Wakikosea, tunaoumia ni sisi wananchi (wenye vyama, na wasio na vyama).

Mnatakiwa kuomba wazidi kukosea. Mukiwasahihisha mtakosa mtaji 2020.

Hapana, tunatakiwa kuwafanya wasikosee, ili wananchi wasiumie.

Infact mnatakiwa muwashauri vitu vya kuwapotosha ili kujenga mtaji wenu ifikapo 2020. Mnatakiwa kila siku kuwaombea wasifanikiwe ili muje mpate mtaji wa kuwashawishi wananchi wawachague ninyi. Hii diyo dhana ya multiparty politics inavyofanya kazi.

Rejea nilichokisema hapo juu.
 
Biashara ya kununua anayoifanya kwa madiwani njaaa anadhani ataweza kununua na wananchi wa jimbo lote la Kigima???
 
Siasa si zimezuiliwa ,sasa Hugo pole,anazunguka kama nani?? Au mfanyabiasharaaa?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…