Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!


Mbali na mateso yote waliyopata wana Mtwara, nina imani kuwa 2015, wana Mtwara hao hao watajazana kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa ccm, na nina imani kuwa wataipigia kura nyingi tu ccm. Na hapo ndo sielewagi akili za Watanzania. Hivi tumekuwa kuku au wanadamu. Wana Mtwara badilikeni, hakuna sababu ya kuwakumbatia wauaji. Wana mtwara badilikeni ili Tanzania ibadilie. Achaneni na propaganda rahisi za ccm. Badilikeni, badilikeni, badilikeni. ccm hawatukaii mema! badilikeni, badikini, badikieni!!
 
Google OPERATION TOKOMEZA na kwa nini Mawaziri Wanne wameondolewa na bado Pinda na Mwamunyange wa JWTZ wanatakiwa waondolewe madarakani. Ukishasoma, basi utaelewa.

Siwezi kukujua wewe, labda useme nikufahamu. Mie siyo GAY na huwa SIJUI wanaume kama Adamu alivyoMJUA mkewe Eva na wakazaa watoto.

Siku ya Bunge, basi sikiliza: Arusha Mambo FM Radio - Home

Karne hii, mbona kuna sehemu kibao za kusoma News: Blogs, Forums, www za magazeti nk nk. Wee omba tu tukupe Link.

Mwisho, unapoongea mbele za Wanaume, acha kujichekeshachekesha kwenye habari za kuudhi na kusikitisha.
 
Ukishakubali watawala wavuke mistari fulani basi ni vigumu sana kuwafanya warudi nyuma ya mistari hiyo.
 
Nawapigwe tuu hatuna namna tumechoka (by pinda)
 
Sioni kama serekali hii ina uhalali wa kuendelea kuwepo madaraani. Nashauri kama sisi wenyewe tumeshindwa tuombe msaada wa jamii ya kimataifa ikiwepo the huge
 
Yaonekana wengi wenu ni wageni na Tz.. Yatapita shwari na hao wahanga wataitikia hoyeeee... kila itajwapo CCM.
There is nothing bad as little knowledge.
 

sidhani kama hawa majangiri ni raia wa kawaida kama unavyodhani. Ingekuwa vema sana kama ungepata nafasi ya kukutana nao hao jamaa wakiwa kazini. Kwa hii video footage, sijaona cha kusikitisha sana maana hizo adhabu wanazopewa hazina uzito kama mnavyotaka kutuaminisha.

Kwa jinsi hawa majangiri wanapokuwa kwenye kazi zao nivgumu sana kwa askari wa wanyama pori pekee hawawezi maaana mzigo unaodondoshwa na hawa jamaa ni mzito.

Mbali na hayo, ni hivi karibuni tulikuwa tunalalamika juu ya wanyama wetu.. ishu ni kuifanya hii operation kuwa endelevu ila ifanyiwe maboresho.. mbali na haya yaliyotokea.. ujumbe mzito umetolewa kwa majangiri.
 
Huuu ni ukatili dhidi ya ubinadamu sijawahi kuona jeshi likitumika kwenye oparation za kijeshi ndani ya nchi kwenye mambo yasiyo ya kijeshi huu ni upumbavu wa viongozi.
 
Jamani mi sijuwi ndo sijaelewa ama vipi,
kwani hao ndo majangiri?
 
Kumbe wakati watu wanalalamika foleni huku Dasalama wengine wako vitani kwenye nchi hi hii... LORD have a mercy.... opersheni tokomeza raia.........
 
Tumefikia hapa kwa kukosa maadili na kuendekeza propaganda majukwaani huku chin mambo nitofauti kabisa.
 
Weka na video za askari walivyouawa mkuu ili ubalance story, wengi wana base upande mmoja wa raia tu lkn upande mwingine mko kimya..unbiased?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…