watundawangu
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 250
- 75
Mundu
Huwa nasema kila siku hapa;Mtwara wananchi WALITESWA zaidi ya hii operation Tokomeza!JWTZ lilitesa mno wananchi Mtwara bila hata kudhibitiwa na serikali!
JWTZ kwa nn inatumika kwenye operation za kiraia?JWTZ kikatiba inapaswa ilinde tu mipaka yetu sio kwenye operation za ndani hasa kama Rais HAJATANGAZA hali ya hatar!
Mbali na mateso yote waliyopata wana Mtwara, nina imani kuwa 2015, wana Mtwara hao hao watajazana kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa ccm, na nina imani kuwa wataipigia kura nyingi tu ccm. Na hapo ndo sielewagi akili za Watanzania. Hivi tumekuwa kuku au wanadamu. Wana Mtwara badilikeni, hakuna sababu ya kuwakumbatia wauaji. Wana mtwara badilikeni ili Tanzania ibadilie. Achaneni na propaganda rahisi za ccm. Badilikeni, badilikeni, badilikeni. ccm hawatukaii mema! badilikeni, badikini, badikieni!!