Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Mundu

Huwa nasema kila siku hapa;Mtwara wananchi WALITESWA zaidi ya hii operation Tokomeza!JWTZ lilitesa mno wananchi Mtwara bila hata kudhibitiwa na serikali!

JWTZ kwa nn inatumika kwenye operation za kiraia?JWTZ kikatiba inapaswa ilinde tu mipaka yetu sio kwenye operation za ndani hasa kama Rais HAJATANGAZA hali ya hatar!

Mbali na mateso yote waliyopata wana Mtwara, nina imani kuwa 2015, wana Mtwara hao hao watajazana kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi wa ccm, na nina imani kuwa wataipigia kura nyingi tu ccm. Na hapo ndo sielewagi akili za Watanzania. Hivi tumekuwa kuku au wanadamu. Wana Mtwara badilikeni, hakuna sababu ya kuwakumbatia wauaji. Wana mtwara badilikeni ili Tanzania ibadilie. Achaneni na propaganda rahisi za ccm. Badilikeni, badilikeni, badilikeni. ccm hawatukaii mema! badilikeni, badikini, badikieni!!
 
Google OPERATION TOKOMEZA na kwa nini Mawaziri Wanne wameondolewa na bado Pinda na Mwamunyange wa JWTZ wanatakiwa waondolewe madarakani. Ukishasoma, basi utaelewa.

Siwezi kukujua wewe, labda useme nikufahamu. Mie siyo GAY na huwa SIJUI wanaume kama Adamu alivyoMJUA mkewe Eva na wakazaa watoto.

Siku ya Bunge, basi sikiliza: Arusha Mambo FM Radio - Home

Karne hii, mbona kuna sehemu kibao za kusoma News: Blogs, Forums, www za magazeti nk nk. Wee omba tu tukupe Link.

Mwisho, unapoongea mbele za Wanaume, acha kujichekeshachekesha kwenye habari za kuudhi na kusikitisha.
Mkuu mbona unajibu kwa jazba hivo? Ndio maana kwenye comment yangu nimeuliza ni kwa nini, nini kinaendelea? sasa badala ya kunijibu ili na mimi nijue unaanza na kuhope mke au mtoto wangu abakwe, sasa na hawatobakwa ng'o, huo uchawi wako haufiki hapa, Jibu swali, kinachoendelea hapo ni nini, hao watu wamefanyeje, na una uhakika na unachokisema kuhusu hiyo video isije kua propaganda, sasa kwa nini watu wafanyishwe hivo kama wako kwenye haki? maswali ni mengi but umekalia vita na mimi hata hunijui! hahaha polepole mtanzania, hua siungani na upande ambao uko wrong, na ndio maana comment yangu iko both sides since i can't side huku sijui kinachoendelea, i prefer urudie kusoma comment yangu tena uimalize uielewe na utubu kwa kunipa laana za kipumbavu ambazo hazijashika zisije kukurudia mwenyewe.. kwanza huyo aliyebakwa kafanyweje? wengine habari sa Tanzania zaidi ya JF hakuna sehemu tunaweza zipata hamna ItV wala StarTv huku..
 
Ukishakubali watawala wavuke mistari fulani basi ni vigumu sana kuwafanya warudi nyuma ya mistari hiyo.
 
Sioni kama serekali hii ina uhalali wa kuendelea kuwepo madaraani. Nashauri kama sisi wenyewe tumeshindwa tuombe msaada wa jamii ya kimataifa ikiwepo the huge
 
Yaonekana wengi wenu ni wageni na Tz.. Yatapita shwari na hao wahanga wataitikia hoyeeee... kila itajwapo CCM.
There is nothing bad as little knowledge.
 
Nani aliruhusu jeshi kufanya operesheni ya kiraia? Je Jeshi la Wananchi liliamuriwa kwenda kupambana na wananchi? Je Jeshi linaweza kuingia kwenye operesheni au vitani bila maagizo ya Amri Jeshi Mkuu? Je ni kweli vijana waliokwenda kwenye operesheni hawakuwa wamelipwa fedha zao (walikopwa?), wakawa na hasira?

Je ni kweli wamekuwa na manung'uniko mengi hivyo wakaamua kumalizia hasira zao kwa wananchi? Je ni kweli kwamba hakukuwa na mkakati wowote wa ku-manage hili suala, hivyo lilifanywa kwa kukurupuka?

Kuna maswali mengi mnastahili kuwajibu Watanzania kabla hamjatumia kisingizo chochote kile kuhalalisha mauaji na unyama huu.

sidhani kama hawa majangiri ni raia wa kawaida kama unavyodhani. Ingekuwa vema sana kama ungepata nafasi ya kukutana nao hao jamaa wakiwa kazini. Kwa hii video footage, sijaona cha kusikitisha sana maana hizo adhabu wanazopewa hazina uzito kama mnavyotaka kutuaminisha.

Kwa jinsi hawa majangiri wanapokuwa kwenye kazi zao nivgumu sana kwa askari wa wanyama pori pekee hawawezi maaana mzigo unaodondoshwa na hawa jamaa ni mzito.

Mbali na hayo, ni hivi karibuni tulikuwa tunalalamika juu ya wanyama wetu.. ishu ni kuifanya hii operation kuwa endelevu ila ifanyiwe maboresho.. mbali na haya yaliyotokea.. ujumbe mzito umetolewa kwa majangiri.
 
Huuu ni ukatili dhidi ya ubinadamu sijawahi kuona jeshi likitumika kwenye oparation za kijeshi ndani ya nchi kwenye mambo yasiyo ya kijeshi huu ni upumbavu wa viongozi.
 
Jamani mi sijuwi ndo sijaelewa ama vipi,
kwani hao ndo majangiri?
 
Kumbe wakati watu wanalalamika foleni huku Dasalama wengine wako vitani kwenye nchi hi hii... LORD have a mercy.... opersheni tokomeza raia.........
 
Tumefikia hapa kwa kukosa maadili na kuendekeza propaganda majukwaani huku chin mambo nitofauti kabisa.
 
Weka na video za askari walivyouawa mkuu ili ubalance story, wengi wana base upande mmoja wa raia tu lkn upande mwingine mko kimya..unbiased?
 
Back
Top Bottom