mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Wengi wao ni failures wa form four na std seven what do you expect.
elimu sio dawa ya upumbavu,ndio maana utaukuta hata kwenye kundi kubwa la wasomi.
elimu yenyewe mnayopigia kelele ndio hii inatoa wasomi wa chuo kikuu,wanaojiua kwa kukosa ajira.