Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Jiwe kakimbia Corona,Rais muoga anayekwepa majukumu yake na kumwachia PM halafu anatoka kusikojulikana anakuja kumdhalilisha!Shame!
 
Km kipenzi kwa nini mnaogopa wapinzani?
Wewe kuku hakuna Mkulima, Mfanyabiashara, mfanyakazi au mwanafunzi anaweyeza kuipigia kura ccm labda wale wakabila la gwajima....
WE MBWA USIPENDE KUPOTEZA MUDA WA WATU KUSIFIA KISICHOSIFIKA...
 
Hawa nao wanatafta umaarufu wa lazima,mikusanyiko ya kisiasa imezuiwa yeye bado anaitisha press conference,any way alishazoea kuhudhuria mahakamani amepamiss isitoshe
Tumekosa kumsikia raisi wa mpito Mh Mbowe yule mwingine kakimbia ikulu alafu hotuba yake pumba tupu
 
Mwenyekiti wenu kapanik aliposikia raisi was mpito anataka kuhutubia taifa
[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji2960] eti raisi wa mpito! Labda uraisi wa mtaa wa ufipa atazeeka na jina mpinzani

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Tumekosa kumsikia raisi wa mpito Mh Mbowe yule mwingine kakimbia ikulu alafu hotuba yake pumba tupu
Mkuu huoni noma kuandika hivi wakati unajua haiwezekani [emoji23][emoji1787] hajifunzi tu kwa ndugu yake lyatonga, mwenyekiti wenu atazeeka na jina mpinzani [emoji23][emoji1787][emoji2960]

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
 
Kwa yaliyosemwa Leo Chato nawaunga mkono Polisi kuzuia mkutano wa Mbowe. Ungefanyika ungewachanganya wananchi maneno yapi ni ya Rais na yapi ni ya kiongozi wa upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekosa kumsikia raisi wa mpito Mh Mbowe yule mwingine kakimbia ikulu alafu hotuba yake pumba tupu
yeye badala atoe hata ushauri kwa njia ya mtandao jinsi ya kupambana na corona badala yake yuko buzy kuitisha press comference
 
Sijui hawa polisi mda kwao siyo mali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…