Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
Wewe ni tahira kabisa, nzi wa kijaniChadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni tahira kabisa, nzi wa kijaniChadema ni chama cha wapumbavu kabisa eti mkutano wa waandishi wa habari
Sent from my iPhone using Tapatalk
Yaacheni haya majuha yapigwe na korona hakuna haja ya kuyaonya Mbowe nenda kapumzike Corona inachagua mapuuzi haya kuyapiga! subirini kiama mbwa koko!!Hawa watu wametutangazia wako kwenye maombi
Swali mbona matendo yao hayaendani na maombi kwa Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi wazuie na kikao cha bungeMuda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
Nchi yetu imejengwa kwa misingi ya umoja na uzalendo. Hichi ni kipindi cha kushikamana pamoja sio kuleta chuki na mifarakano.Ameandika upumbavu kama mleta uzi alivyo na akili za kipumbavu.
Kila mtu ana muda wake wa kuomba Mungu na nchi hii Kuna watu hawaamini kuna Mungu.
Kwahiyo acha watu wafanye yao wewe na mumeo/mkeo ombeni shida ipo wapi?
labda mwenyekiti anataka kutoa mwongozo kwa taifa kuhusu covid-19,yule mwingine kaingia mitini katuachia msalaMuda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...
Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.
Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter
Mbowe Ana nini? Ana chanjo? Si angemuonya mwanae na Joyce mukyaYaacheni haya majuha yapigwe na korona hakuna haja ya kuyaonya Mbowe nenda kapumzike Corona inachagua mapuuzi haya kuyapiga! subirini kiama mbwa koko!!
Huo muongozo angewapa misukule yake ya ufipa sisi tunae waziri mkuu na waziri wa afyalabda mwenyekiti anataka kutoa mwongozo kwa taifa kuhusu covid-19,yule mwingine kaingia mitini katuachia msala
Hao wanapenda cheap popularityChadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
😆😆😆 jf raha sana !Wazazi wangu wanajivunia kuwa na kijana Kama Mimi ila mama yako nadhani atakuwa shupavu sana kuilea mimba ya kubakwa mpaka ukazaliwa anastahili pongezi
Mbowe ni muhuni tu anastahili kupuuzwa ikiwezekana aepukwe Kama ukomaHivi hichi chama kina matatizo gani? Muda wote ni kutaka kuvutana na kulumbana na serikali na vyombo vya dola bila sababu.
Taifa limetenga siku ya leo ili iwe kwa ajili ya maombi maalumu kwa ajili ya kumuomba Mungu ili taifa liepukwe na hili janga la Covid -19.
Wao kiongozi wao anasema atakuwa na press conference na waandishi wa habari tena muda ule ule ambao maombi ya kitaifa yanafanyika.
Hii inaonyesha dhahiri kuwa hawaungi mkono maombi haya na nia yao ni kulitakia mabaya taifa letu.
Nilitegemea kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nae angehudhulia maombi haya ili kuonyesha umoja na uzalendo lakini sio kuitisha press conference wakati kuna maombi yanaendelea muda ule ule.Nini hasa nia yake?
Kuwakanganya watu?
Pia alipaswa asubiri basi hata haya maombi yaishe kama mzalendo ili afanye huo mkutano wake na wana habari.
Wahuni hawawezi kuelewa mkuuNchi yetu imejengwa kwa misingi ya umoja na uzalendo. Hichi ni kipindi cha kushikamana pamoja sio kuleta chuki na mifarakano.
Jinga kubwa ww kalambe buku7 zako sasa umeshafanya kazi ya kutetea mauchafu ya ccmPunguza jazba kiwavi wa ufipa
Kinachoogopwa ni corona lake mbowe lilloko nyumbani kwake asije ambukiza wengine
Jiongeze we poyoyo nchi inaharbika kwa sababu ya mwenyekiti wa ufipa au lumumba? Kamata huko chato rudisha Dar akachape kazi sio blablaMngeanza kumtoa Kwanza mwenyekiti wa kudumu kwenye ile Sacco's ya ufipa
Sana kamanda [emoji1787][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38] jf raha sana !
Nani amekuambia nchi Ina haribika DJ au? Nchi inasonga wewe unalia piga kazi kiwavi Cha ufipa, usisahau kufuatilia kufuatilia hotuba ya kipenzi Cha watanzania raisi jpmJiongeze we poyoyo nchi inaharbika kwa sababu ya mwenyekiti wa ufipa au lumumba? Kamata huko chato rudisha Dar akachape kazi sio blabla