Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Polisi Dodoma wawakamata na kuzuia mkutano wa Waandishi wa Habari na Mwenyekiti wa CHADEMA - Mbowe

Hakuna kifungu Cha katiba kinachompa uhalali wa uhuni anaoufanya

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki ! Ni vema serikali ikaruhusu utoaji mimba ili kuwaruhusu wazazi kuchagua aina ya watoto wawatakao
 
Asee hivi Mbowe na wenzake walishindwa kujua kuwa kwa hali iliyopo sasa hivi ingekuwa vyema watumie mitandao?

Au wana agenda gani sasa kwa hili siwaelewi kabisa.Au Wamelogwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hatua zipi alizopiga atakacho nizidi ni kula ruzuku na uenyekiti wake wa kudumu tu hakuna kingine alichonizidi

Sent from my Infinix X624 using Tapatalk
Hapo umeshakiri kakupiga gape kubwa mno!Wewe una uwezo wa kula ruzuku?Shwain kabisa,lamba viatu vya wakubwa zako upate kula,acha kujifananisha na huyo Mbowe unayemdhihaki!
Mpaka serikali inampa gari yenye hadhi kama ya mawaziri,basi ni wazi wanaujua umuhimu wake!Idiot
 
Katoka karantini unajuaje kama hajakutana tena na mkewe kumkumbatia au mtoto akadaka tena masmbukizi dababu sio rahidi kumtenga MTU na familia Hugo ni corona victim tena current sio Wa kumchukulia kirahirahisi ataua watu wengi Hugo

Hivi hawala yake Joyce mukya Naye alikuwa karantini naye? Kuna chain kaeni mbali na mbowe
Nilichogundua wewe ni mpumbav!
 
Chadema nao muda mwingine wanataka tabu, kuna Instagram Live, Facebook Live, Youtube Live, Twitter Live. Shida iko wapi, weka vitu kwa mtandao, uwakwepe watesi wako
Inawezekana kuna sababu ya wao (CHADEMA) kung'ang'ania njia hii..., lakini isingekuwa taabu kutumia njia hizo ulizotaja hapa ili kufikisha taarifa waliyonuia kuifikisha kwa wananchi hata kama njia hizi zinamapungufu yake.

Lakini jambo linalojitokeza wazi sasa ni kwamba CHADEMA watapata wakati mgumu sana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Sina hakika kama hili wanalijua.
 
Inawezekana kuna sababu ya wao (CHADEMA) kung'ang'ania njia hii..., lakini isingekuwa taabu kutumia njia hizo ulizotaja hapa ili kufikisha taarifa waliyonuia kuifikisha kwa wananchi hata kama njia hizi zinamapungufu yake.

Lakini jambo linalojitokeza wazi sasa ni kwamba CHADEMA watapata wakati mgumu sana tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Sina hakika kama hili wanalijua.
Mkuu hata hao waliowaita hapo watumia mitandao hiyo hiyo kufikisha ujumbe. Traditional media haziwezi kutangaza huo mkutano. Wajifunze pia kwenda na wakati na kusoma mazingira.
 
Muda huu hapa ofisi ya Chadema kamda ya kati Dodoma... polisi wamezuia viongozi wote wa Chadema na kufunga ofisi yetu...

Hii yote ni kuhofia press conference ya Mwenyekiti tu.

Jana nilikua naangalia documentary ya Mobutu Seseseko. Tuko kwenye kipindi kibaya sana. John Heche on Twitter

Hebu nyie wavuta bangi wa Chadema tuacheni kwa sasa tuko busy na mapambano dhidi ya Corona. Hivi Mwenyekiti wenu alishamaliza SELF ISOLATION?
 
Hivi hichi chama kina matatizo gani? Muda wote ni kutaka kuvutana na kulumbana na serikali na vyombo vya dola bila sababu.

Taifa limetenga siku ya leo ili iwe kwa ajili ya maombi maalumu kwa ajili ya kumuomba Mungu ili taifa liepukwe na hili janga la Covid -19.

Wao kiongozi wao anasema atakuwa na press conference na waandishi wa habari tena muda ule ule ambao maombi ya kitaifa yanafanyika.

Hii inaonyesha dhahiri kuwa hawaungi mkono maombi haya na nia yao ni kulitakia mabaya taifa letu.

Nilitegemea kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nae angehudhulia maombi haya ili kuonyesha umoja na uzalendo lakini sio kuitisha press conference wakati kuna maombi yanaendelea muda ule ule.Nini hasa nia yake?

Kuwakanganya watu?
Pia alipaswa asubiri basi hata haya maombi yaishe kama mzalendo ili afanye huo mkutano wake na wana habari.
 
Nimekimbia nikijua ntakuta ata umeandika 'wamenyukwa hadi wakachakaaa[emoji1][emoji28]'.

Makengeza na ng'ombe wake hawana akili mbwa hao. Yaani kipindi kigumu namna hii wanataka kufanya siasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Makengeza ni maumbile we panya. Kama unamkosoa mtu,mkosoe kwa hoja na si kwa maumbile yake.
Mfano ukiambiwa wewe mama yako ni mlemavu kwa kuwa kakeketwa utafurahi?
 
Screenshot_20200421-155905-1.jpg
 
Hivi hawawezi kwenda kumtoa jiwe kwa nguvu na kumrwjesha Dar achape kazi?
 
Back
Top Bottom