MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Nilisema kutakuwa na kamata kamata sio poa watu wakatukana sana. Hii kuja kutulia ni hadi 2029 labda.Na sasa kitaani kimenuka yaani kama kinyesi
Nilisema kutakuwa na kamata kamata sio poa watu wakatukana sana. Hii kuja kutulia ni hadi 2029 labda.Na sasa kitaani kimenuka yaani kama kinyesi
Kwahilo tu,mnawezaKamata wapuzi wote hao na piga jela
Sasa kama ni wageni ndio hawakamatwi?
Mbona wakina Agatha na Boniface walikamatwa?
Na hapa linaongezeka swali lingine.
Kwanini kulifanyika uzembe eneo la mipakani hadi kuruhusu wageni kuingia na kutoka kiholela?
Wenyewe hilo hawajali, unadhani hawakuangalia angle hiyo?Mkuu hizi case zitawavua nguo kuliko za Lissu
tatizo lenu mnaichukulia serikali kama wahuni wenzenu wa kitaa, heshima imepotea sana toka maraisi wamekua wakicheka sanaGenZ ngoja waitishe maadamano ya kudai wenzao walioshikiliwa na kupewa kesi za Uhaini uone kama serikali aijatema ndoano wakiandaa maandamano ya Kushinikiza Wenzao kuachiwa serikali itakua imejitafutia matatizo bure
Sihofii chochote.Usipoweka chochote maana yake kuna kitu unahofia (usalama wako)
Mafwele ni wanted na watu ambao ni powerless.
Kwahiyo wakiua ndio heshima itarudi ? We kweli mavitatizo lenu mnaichukulia serikali kama wahuni wenzenu wa kitaa, heshima imepotea sana toka maraisi wamekua wakicheka sana
Kuna mtu mmoja nmemsahau jina alishawahi kusema BEING WISE IS BETTER THAN BEING RIGHTKwahiyo wakiua ndio heshima itarudi ? We kweli mavi
Sihofii chochote.
anaitwa master kibod shifu
Kuzaliwa ni mara 1 na kufa ni mara 1 hakuna historia ya kuzaliwa mara mbili na kufa mara mbili wale mlio waua kwa risasi hawato kuja kuishi tena na hawato kuja kufa tena, hivyo usihofu kuhusu hilo nadhani kuna ulio wazika hata kwenu na hukuwahi dhani watakuja kuishi tena na wala hudhani kama watakuja kufa tena tupo kwenye safari ya mara moja tu hapa duniani safari hiyo ikiisha imeisha hivyo itaisha kwangu,itaisha kwako na itaisha kwa yeyote nipo tayari kukipata hicho unacho dai nakitafutaKuna mtu mmoja nmemsahau jina alishawahi kusema BEING WISE IS BETTER THAN BEING RIGHT
unachokitafuta itakipata
Serikali ipi? au genge la vibaka na wauaji...tatizo lenu mnaichukulia serikali kama wahuni wenzenu wa kitaa, heshima imepotea sana toka maraisi wamekua wakicheka sana
Soon hao polisi wataanza kuokotwa maporini.Serikali ipi? au genge la vibaka na wauaji...
Polisi hivi sasa pasipo bunduki na group la wenzake kadhaa anaogopa kutembea uraiani, ndipo tuliofikia, bado kidogo hata akiwa na bunduki atawaogopa raia...
Si siku nyingi...
Tatizo hio hofu wanajitengenezea wao.. usifikiri raia utawapa hofu ..Wanachotaka wao ni kutengeneza hofu ili kuzuia maandamano mengine yanayoratibiwa kufanyika.
Inaitwa Mbwa kala mbwa, mwisho wa ubaya aibu.Na sasa kitaani kimenuka yaani kama kinyesi
.......gesi haitoki Ntwara, hata kwa bomba la peni......Kamata wapuzi wote hao na piga jela